Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

Hiki Tanzania inachokifanya, ndicho kitu kinachoitwa sovereignty, Tanzania ni nchi huru, mgeni akitaka kuja kwako, lazima apige hodi, akaribishwe, hivyo lazima mwenyeji ajisikie yuko tayari kukupokea, kama mwenyeji hajisikii kupokea ugeni, utulie, usilazimishe!.

Big Up Sana kwa Tanzania, tutawakaribisha tukiwa tayari kupokea ugeni!.

P
Wadanganye tu eti wasubiri kupoe. Wangekuwa wanatoka UG kwa M7 mngewaruhusu sababu matendo yenu yanafanana nao, na mgewapa press conference haraka waseme hamjauwa. Mtaficha chawa kwenye nguo na kwanza ndo zinazidi kuzaana.
 
Mkuu tunaongelea mauaji ya Gaza yaliyofanyika last month wewe unaleta barua ya Amnesty ya 2002 miaka 24 iliyopita, pia waliozuiwa ni Wabunge wa EU siyo Amnesty.
Screenshot_2026-05-08_131706.jpg
 
Kwani Rwanda wanatoa mikopo? Africa Dev. Bank ndio wanatoa mikopo kwa Afrika. Ulaya kuna mabenki mbalimbali ya kimataifa yanatoa mikopo. Pia kumbuka hao wazungu walituibia sana mali zetu wakati wa ukoloni hivyo si vibaya kurudisha mali zetu polepole
Kwahiyo ukienda kukopa kwa mabeberu ndio unarudisha mali zako.
 
Chawa watakuja hapa kusema "hatupangiwi na mabeberu" huku wakisahau Tanzania kama mwanachama wa umoja wa mataifa imesaini mikataba ya kimataifa mbalimbali na ina jukumu la kuifuata.

Mambo yanaenda vizuri damu za watanganyika 10000 haziwezi funikwa na genge la wastaafu wachache wa CCM kwa lengo la kumficha muuaji.
 
Hiki Tanzania inachokifanya, ndicho kitu kinachoitwa sovereignty, Tanzania ni nchi huru, mgeni akitaka kuja kwako, lazima apige hodi, akaribishwe, hivyo lazima mwenyeji ajisikie yuko tayari kukupokea, kama mwenyeji hajisikii kupokea ugeni, utulie, usilazimishe!.

Big Up Sana kwa Tanzania, tutawakaribisha tukiwa tayari kupokea ugeni!.

P
Zamani tukiwa shule za msingi kukiwa na ugomvi wenzako wanakuvimbisha kishwa yule hakuwezi, ukitolewa nundu wenzako hao hao wanaanza kukucheka, ndivyo unavyomponza mama.
 
Back
Top Bottom