Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

Wakuu,

Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.

Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.

Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
  • Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
  • Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
  • Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."

Maswali yangu:
  1. Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
  2. Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
  3. Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
  4. Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.

Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa

View attachment 3585719View attachment 3585721View attachment 3585722View attachment 3585724
Hii serikali ya kiuaji ina mambo ya kiswazi sana. Hivi anadhani anaweza kujiendesha bila misaasa na mikopo kutoka Ulaya? Huyu mama ni kiazi na nusu.
 
O
Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
Ooh Kumbe?
 
Kamati tu ya bunge imewatia kiwewe,hizo tume kutoka nje baada ya hii ya Chande ndiyo zitaruhusiwa kama tulivyoambiwa?

Nchi za umoja wa Ulaya wa cash out zile trillion 6 walizotoa juzi ujenzi SGR!!
 
1778487638924.jpeg
 
Okay, wamewafuata Malaya Mange na Maria.

Sasa kwa nini mmezidiwa ushawishi na Malaya Mange na Maria ????????

Kuna makesi ya uhaini mahakamani

Mmegombana na makanisa ambayo huwa mna spend mabilioni kuwahonga wawe upande wenu

International community mmegombana nao, mkawadanganya eti wasubiri tume ya Chande ndo waje...

Watu maelfu wameuliwa na kuharibu Urais wa mtu wenu na mpango mzima wa upigaji umeletewa unneeded attention

Watu wametekwa mwaka mzima na nchi imejaa mataharuki mpaka mipango yenu ya ujambazi na ufisadi inavurugika au inakuwa complicated

Yoooote hayo kwa saab ya "Malaya Mange na Maria.''

Hawana microphone bungeni

Hawana TV na Redio ya Taifa

Hawajawahi kupata acces ya mkutano wa wazi hata mmoja

Hawatoi ufafanuzi na matamko kama Msigwa na Polisi kwa saab hawana professional spokesmen na mawaziri na ma RPC

Hawana sent tano kushindana na ma bilioni mnayochota kuji promote na ku eliminate opposing voices

Hawana vijana na ma professional envoys na wasaidizi wao mliowasambaza kila balozi duniani kui promote serikali

Hawana pistol moja wala kisu au rungu

Na sifa yao kubwa ni malaya wasio na lolote

SASA KWA NINI WAMEMISHINDENI USHAWISHI MALAYA WAWILI WANAJIREKODI WAKIWA KWENYE GARI AU JIKONI ???????????????
Inaonekana huna kazi ya kufanya unaandika sms ndefu hivyo ambayo haina mantiki hata chembe. Endelea kufuatilia udaku wa Mange na Maria mkuu!!
 
Amevujisha ma documents ya Ikulu na Jeshini na satelite images za majumbani kwa wakuu wa usalama na mtoto wa Rais, na registration za makampuni na magari ya kifahari ya watoto wao, yanayoonyesha ujambazi wa kutisha wa mali za nchi...

....watu wakatoka kuchoma nchi...

Mwanasheria Mkuu akasema Mange akisema watu wanafanya kweli....

Utamuitaje huyo ni mdaku ???? You are a a complete and utter moron!

Na kwa nini mshindwe ushawishi na wadaku ???????
 
Hakuna kitu kinachoitwa misaada kwa hawa wakoloni. Hizo ni mali zetu walizoiba wakati waukoloni zinarudi polepole.
ata zikirudi haziwezi fikia hata robo, wengi wao wanajifanya wema tu kufunika ushenzi wao walioufanyaga, washenzi wale !
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Tanzania sio kisiwa kuwa tunaweza kuishi kivyetu vyetu naona wanatutengenezea mazingira magumu huko baadae kwa vijana wetu iwe kama Zimbabwe hao jamaa wangewaruhusy waje ili mambo mengine yaendelee hakuna kitu wataweza kuzuia wanachelewesha tu..
 
Wakuu,

Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.

Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.

Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
  • Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
  • Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
  • Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."

Maswali yangu:
  1. Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
  2. Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
  3. Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
  4. Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.

Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa

View attachment 3585719View attachment 3585721View attachment 3585722View attachment 3585724
 
Attachments

  • IMG-20260418-WA0007.jpg
    IMG-20260418-WA0007.jpg
    63.3 KB · Views: 10
  • 4by66a1fa1e50e1y6z0_440C247.jpg
    4by66a1fa1e50e1y6z0_440C247.jpg
    26.3 KB · Views: 12

Hao wabunge waende Gaza kwanza halafu waache kumuuzia silaha Israel
 
Amevujisha ma documents ya Ikulu na Jeshini na satelite images za majumbani kwa wakuu wa usalama na mtoto wa Rais, na registration za makampuni na magari ya kifahari ya watoto wao, yanayoonyesha ujambazi wa kutisha wa mali za nchi...

....watu wakatoka kuchoma nchi...

Mwanasheria Mkuu akasema Mange akisema watu wanafanya kweli....

Utamuitaje huyo ni mdaku ???? You are a a complete and utter moron!

Na kwa nini mshindwe ushawishi na wadaku ???????
Shithole comment ever!! Tatizo ni Gen z wana poor reasoning hata ukitengeneza AI watakubali tu kuwa ni OG!!
 
Back
Top Bottom