kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
miradi ili wananchi hatuijui hakikisha wananchi tunaijua ulaya nyie vipi
HahahaIla ela zao mnazitaka mpaka mnajifia mna deni stahimilivu
Hv kenge wa ccm huwa wanajiona kama Putin vile?Wakuu,
Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.
Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.
Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."
- Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
- Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
- Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Maswali yangu:
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.
- Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
- Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
- Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
- Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa
View attachment 3585719View attachment 3585721View attachment 3585722View attachment 3585724
Tunarudisha pesa zetu walituibia mali zetu wakati wa ukoloniIla ela zao mnazitaka mpaka mnajisifia mna deni stahimilivu
Wana wasiwasi gani Chande si alisema ni AI?🙄Wakuu,

Wasubiri sasa tutawaruhusu muda ukifika!!Wameamua kuanzia kwetu. Kuna shida gani?!
Wakuue na weweUende kwao kufanya nini? Kwani kwao umesikia watawala wanateka na kuua watu kwa sababu ya tamaa ya madaraka?
Huna uhuru wa kuua watu kwa tamaa ya madaraka, ndiyo maana kuna sheria za kimataifa.
Slavery mentality inakusumbua!! Unajua waafrika wangapi waliuwawa wakati wa ukoloni?Mi naona Bora wazungu watuibie kuliko haya meusi menzetu, maana yanatuibia na kutuua juu.
Kama kum la mama linavyonuka.Wee asshole fungal hilo domo lako linalonuka mavi.
Je, hivyo vikwazo havipo? Vipi EU wansemaje kuhusu haki za watu weusi huko kwao? What about mauai megine mengi ya Middle East, Sudan etc?Tanzania ina dalili zote za kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo au kufunguliwa mashtaka mahakama za nje ya nchi
Tumeshaamua hakuwa kuja TZ kwa sasa kama mnawapenda sana hao wabunge wa EU wafateni huko kwao.kwani sisi na gaza tuna tofauti gani
Kuna miradi kibao wamefanya wazungu hapa nchini na ushahidi upo, na hawadai chochote na ushahidi upo. Kuna NGO na watu binafsi wengi wamepewa hela na wazungu bila masharti yoyote hatarishi. Usitake kutuletea lugha za upotoshaji za waharibu demokrasiaMikopo ni kitu cha kawaida duniani pia kumbuka mzungu hatoi pesa ya bure hata siku moja.
Mimi nimefanya kazi kwenye NGO nyingi najua kila kitu kinachofanywa na hao mabeberu. Wewe na Chama chako subiri ukichukua uongozi wa nchi mwaka 3000 then wakaribishe hao wabunge kila wakitaka kuja TZ. Kwa sasa baki mpiga debe tu wa hao mabeberu.Kuna miradi kibao wamefanya wazungu hapa nchini na ushahidi upo, na hawadai chochote na ushahidi upo. Kuna NGO na watu binafsi wengi wamepewa hela na wazungu bila masharti yoyote hatarishi. Usitake kutuletea lugha za upotoshaji za waharibu demokrasia
Huwataki wewe na nani mbona unanisemea?Wahangaike na shida zao huko kwetu hatuwataki. Mbona sisi hatuendi kwao.
Mimi kama mumeo .Kama raia wewe unawataka kama nani?
Nitajie hata NGO moja ambayo ww ulifanya kazi na ikawa na mambo yasiyo sahihi. Itaje mahali ilipo na ilikuwa inajihusisha na nini. Usitake kuleta upotoshaji wa jumla jumla hapa kwa kusema umefanya kazi na NGO nyingi ili kukidhi hoja za upotoshaji wako.Mimi nimefanya kazi kwenye NGO nyingi najua kila kitu kinachofanywa na hao mabeberu. Wewe na Chama chako subiri ukichukua uongozi wa nchi mwaka 3000 then wakaribishe hao wabunge kila wakitaka kuja TZ. Kwa sasa baki mpiga debe tu wa hao mabeberu.
Tanzania unafananisha na Iran? Wewe una kichaa? Iran nimiongoni mwa nchi zilizowekeza sana kwenye Elimu na sayansi kuzindi nchi nyingi za EU wanakuja Tanzania kwasababu nyie ambao mnapokea pesa zao hamjui Kama nchi mmewekeza hata kwenye nini?Kwanini hawaendi Gaza, Sudan na Iran ambako wamekuwa watoto kibao kwani huko hakuna Human Right?
Tunaongerea sisi tunaoongoza nchi wewe kaa huko utulie.Huwataki wewe na nani mbona unanisemea?