Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

Wakuu,

Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.

Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.

Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
  • Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
  • Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
  • Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."

Maswali yangu:
  1. Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
  2. Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
  3. Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
  4. Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.

Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa
Napenda waachww waje kwani wakienda kinyume na desturi,mila,utamaduni na demokrasia yetu ya kipekee mikwaju iwahusu.Kwani tuna madhambi gani hata tuwaogope?
 
Tanzania yetu kama Sudan vile

Sudan Inatokwa na Damu : EU Lazima Ichukue Hatua Sasa! 🇸🇩 Mounir Satouri Adai Haki na Hatua kwa Waathiriwa wa Sudan

View: https://m.youtube.com/watch?v=8I8vF8xi1sM
Katika Bunge la Ulaya mjini Brussels, Mounir Satouri, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (DROI) na Mwanachama wa Kundi la Greens/EFA, anafungua kikao chenye nguvu cha pamoja kuhusu mgogoro wa haki za binadamu nchini Sudan. Anaonya kuhusu "habari mbaya kutoka kwa Al Fasher" na kutoa wito wa hatua za haraka za EU kuwalinda raia, kuhakikisha haki, na kuwawajibisha wahusika wote — wakiwemo wahusika wa kigeni

GENEVA USWISI
February 26, 2026
Jaji Chande akisoma ripoti ya kazi yake kuhusu Sudan, lakini ya Tanzania Samia Hassan anaficha

Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026

Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...

View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE
 
Wakuu,

Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.

Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.

Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
  • Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
  • Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
  • Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."

Maswali yangu:
  1. Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
  2. Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
  3. Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
  4. Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.

Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa
Hii Nchi ilipofika ni lazima watanganyika wenye akiri timamu walio na mamlaka waache ujinga, wanaruhusu vipi Mzanzibar kuifikisha nchi yetu hapa ilipofika?? Samia anaweza kurudi kwao Zanzibar , je sisi watanganyika tutarudi wapi?
 
TZ siyo Koloni la Beberu kama wewe unaogopa jifungie ndani wanaume bado tu.
Mbona mnahangaika kutuma watu eti kwenda kufafanua/kuelezea your side of the story, mnahangaikia nini huku wakati mnajua they have people on the ground na wanafahamu exactly ukweli ulivyo.
Mnatuma watu mpaka kwa Pope wanaishia kupiga piga picha tu lakini watu wenye akili zao timamu hawaamini katika uongouongo na si watu wa kuwahonga wala kuwatisha.
 
Unafiki wa majahili hawa wanaoongoza utawala haramu Tanzania uliotota kwa damu ya mauaji wanayotekeleza huku wakijaribu kuficha uovu wao walioutekeleza kwa kutumia bunduki za dola AK47, utekaji, kupoteza upo hadharani, kutapatapa kwao kunakaribia tamati, siku zao zinahesabika kabla ya kufikishwa ICC The Hague Uholazi
 
Samia Hassan anaogopa nini si alidinda na kusema nguvu walitotumia ni halali?

TOKA MAKTABA :
Desemba 3, 2025

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ahalalisha mauaji ya uchaguzi - CNN

View: https://m.youtube.com/watch?v=Osm58qbK9cQ&pp=ugUHEgVlbi1VUw%3D%3D
Mwandishi wa CNN, Larry Madowo, anaripoti kuhusu ulinzi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa vikosi vya usalama kwa kutumia "nguvu sawia"
 
Human rights MEPs mission to Tanzania cancelled after authorities decline visit.

Press Releases Yesterday
The Chairman of the Subcommittee on Human Rights, Mounir Satouri, has issued the following statement.

"We strongly regret the Tanzanian authorities’ continued request to postpone the official visit by the European Parliament’s body responsible for global human rights – an approach that, in practice, amounts to a refusal.
------------

This obstruction has serious consequences for the European Parliament’s ability to carry out its mandate. Being denied access prevents us from following up on our recent resolutions on Tanzania, conducting proper parliamentary scrutiny of EU-funded human rights projects, and engaging directly with key partners in the country – including the African Union’s major human rights institution, the African Court on Human and Peoples’ Rights.

The European Parliament remains firmly committed to strengthening relations with African Union partners, including Tanzania. However, such partnerships – particularly those involving EU financial support – must be firmly grounded in international law and aligned with shared human rights commitments under the OACPS–EU Partnership Agreement. In this context, we regret the lack of willingness by the Tanzanian authorities to engage in good-faith dialogue, especially against the backdrop of a deteriorating human rights situation and crackdowns on the democratic opposition.

We reiterate our readiness to engage constructively with the Tanzanian authorities and underline the importance of maintaining close cooperation with international and regional organisations based in the country, as well as with civil society groups and human rights defenders. They can count on our continued and unwavering support.

Despite the current obstacles, our parliamentary body will pursue all available avenues to monitor developments closely in human rights, democracy, and the rule of law in Tanzania and assess their impact on the further development of relations with the EU."

Background

The Conference of Presidents of the European Parliament of 20 November 2025 authorised a mission of the subcommittee on human rights to Tanzania.

The visit would have focused on issues relating to human rights, democracy and the rule of law, in accordance with the subcommittee’s mandate. MEPs intended to follow up on European Parliament resolutions relating to Tanzania adopted in November 2025, engage with the government, parliament, civil society actors and international stakeholders on human rights issues, visit the African Court on Human and Peoples' Rights in Arusha, and monitor EU-funded projects in the field of human rights.

This mission was initially planned for February. However, the Tanzanian authorities requested a postponement to a later date to allow time for the national commission of inquiry investigating the violence surrounding the elections on 29 October 2025 to complete its work. The subcommittee on human rights agreed to reschedule the mission for the end of May. The commission of inquiry meanwhile presented its findings on 24 April. Without providing any specific justification, the Tanzanian authorities have now refused the visit of the subcommittee in May in its entirety, including the part of the visit relating to international and regional organisations and civil society.
I am afraid, hawa Wazungu wanampigia mbuzi guitar!
 
Juhudi zote hizi kutoka kwa wapenda haki ndani ya nchi, na hawa wabia wa haki wa bunge la senati la US, bunge la MEP EU, Sweden, Germany, Pan Anfrican Lawyers Union PALU, SADC, Office of The Prosecutor ICC, International Court Belgium lazima wanakwenda ICC The Hague wahalifu hawa wa serikali ya chama dola kongwe
 
Chonde chonde chonde waheshimiwa wabunge wa bunge la ulaya msiweke kikwazo chochote cha kiuchumi kwani sisi wananchi ndo tutaumia, twawaomba mfanye kama Donald yohana trump alivofanya kule Venezuela ushirikiano mtapata ova.
 
Juhudi zote hizi kutoka kwa wapenda haki ndani ya nchi, na hawa wabia wa haki wa bunge la senati la US, bunge la MEP EU, Sweden, Germany, Pan Anfrican Lawyers Union PALU, SADC, Office of The Prosecutor ICC, International Court Belgium lazima wanakwenda ICC The Hague wahalifu hawa wa serikali ya chama dola kongwe
I can’t wait to see their day of reckoning finally come to pass!
 
Wakuu,

Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.

Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.

Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
  • Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
  • Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
  • Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."

Maswali yangu:
  1. Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
  2. Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
  3. Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
  4. Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.

Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa

View attachment 3585719View attachment 3585721View attachment 3585722View attachment 3585724
Alishawaambia “who are you ? “

Ameota mapembe muongezee mkia ….
 
Hiki Tanzania inachokifanya, ndicho kitu kinachoitwa sovereignty, Tanzania ni nchi huru, mgeni akitaka kuja kwako, lazima apige hodi, akaribishwe, hivyo lazima mwenyeji ajisikie yuko tayari kukupokea, kama mwenyeji hajisikii kupokea ugeni, utulie, usilazimishe!.

Big Up Sana kwa Tanzania, Dada Mkubwa shikilia hapo hapo kama tulivyo kushauri hapa, Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu! tutawakaribisha na kuwapokea wageni wetu kwa shangwe na bashasha tukiwa tayari kuupokea ugeni wao, kama ni ka kuku, tutawachinjia, hata ka mbuzi, au yule mbuzi Katoliki!, waje wale, tiny we, tifurahi mgeni karibu!.

P
Sovereignty sio kichaka cha kufichia uhalifu? Mbona wakija kutoa misaada mnawapokea? Lakini wakija kujiridhisha na vifo vilivyofanywa na serekali haramu mnajifanya sovereignty?
 
Dawa yao utawala huu haramu inachemka

TOKA MAKTABA :
Novemba 28, 2025

Bunge la Ulaya lapiga kura kuzuia ufadhili "mkubwa" wa Tanzania, lalaani ukiukwaji wa haki za binadamu

1778256387812.jpeg

Novemba 282025
🇪🇺 BUNGE LA ULAYA LAZUIA UFADHILI KWA TANZANIA | UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU WACHUKULIWA MOTO Bunge la Ulaya limechukua msimamo mkali, likipiga kura kuzuia ufadhili "mkubwa" kwa Tanzania kufuatia wasiwasi unaoongezeka kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu. Kuanzia uhuru mdogo wa raia hadi ukandamizaji wa kisiasa, uamuzi huo unaashiria kuongezeka kwa shinikizo la kimataifa kwa serikali ya Tanzania kushikilia kanuni za kidemokrasia na kulinda haki za msingi.
 
D
Wakuu,

Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.

Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya ziara yao rasmi iliyokuwa imepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Mei.

Kwa ufupi, haya ndiyo yaliyo kwenye hii taarifa:
  • Lengo la Ziara: Ujumbe huu kutoka Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu (MEPs) ulipanga kuja Tanzania kufuatilia masuala ya demokrasia, utawala wa sheria, na haki za binadamu kufuatia sintofahamu ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Pia, walitaka kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha.
  • Sarakasi za Tarehe: Awali, ziara hii ilipangwa kufanyika mwezi Februari mwaka huu (2026). Hata hivyo, Serikali ya Tanzania iliomba isogezwe mbele ili kupisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi ikamilishe kazi yake. Baada ya Tume hiyo kutoa matokeo yake Aprili 24, Kamati ya Ulaya ikapanga kuja mwishoni mwa Mei.
  • Kuzuiliwa Kabisa: Ghafla, bila kutoa maelezo yoyote ya msingi, Mamlaka za Tanzania zimekataa kabisa kupokea ugeni huu, ikiwemo kuwazuia wabunge hao kuonana na asasi za kiraia (CSOs) pamoja na mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini.
Kauli ya EU: Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mounir Satouri, ameeleza kusikitishwa sana na hatua hiyo, akisema kitendo hicho ni sawa na kukataa waziwazi ushirikiano. Amesema hatua hii inawazuia kufanya ufuatiliaji wa fedha za walipakodi wa Ulaya zinazofadhili miradi hapa nchini, huku akikemea kile alichokiita "muendelezo wa kudorora kwa haki za binadamu na kuminywa kwa upinzani."

Maswali yangu:
  1. Sovereignty vs Uwazi: Je, Serikali yetu ipo sahihi kuwazuia hawa wawakilishi wa EU kwa kisingizio cha kulinda mamlaka (sovereignty) na kutokuingiliwa mambo ya ndani, au kuna jambo zito tunaficha kuhusu uchaguzi wa 2025?
  2. Athari za Kidiplomasia na Kiuchumi: Nini athari za hatua hii ikizingatiwa EU ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa miradi yetu ya maendeleo? Tunajiandaa vipi na uwezekano wa vikwazo?
  3. Ripoti ya Uchunguzi: Kwenye ile ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyotolewa Aprili, kuna nini hasa ambacho Serikali haitaki wageni waje kukichokonoa?
  4. Je, ni wakati muafaka kwa nchi za Afrika kukataa misaada inayoambatana na masharti ya ufuatiliaji wa kisiasa?
Nawasilisha kwenu wakuu, ulingo ni wenu.

Chanzo: Tovuti Rasmi ya Bunge la Ulaya - Soma Habari Kamili Hapa

View attachment 3585719View attachment 3585721View attachment 3585722View attachment 3585724
Duu hii hatari
 
Back
Top Bottom