Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!

that is pre text,kwanini wasipewe onyo na grace period ya kusijajili hasa ikichukulia kazi nzuri wanayofanya ya kufichua maovu,kama escrow,serikali imelitafutia kosa ili kujustify uamuzi wake,sasa naanza kuamini zile kesi kubwa za escrow,epa, mramba na yona zilizofunguliwa na serikali ni zuga toto(buying time ) ili kudanganya wananchi, serikali ingekuwa na nia njema wangelipongeza the east african
 
Jamani hawa watendaji wa Serikali waache kututia aibu Watanzania ktk uso wa Dunia. Sasa kama walikuwa hawajasajiliwa, vipi muda wote huu walikuwa hawajalifungia? Mnatutia aibu kwa utendaji wenu unaotia shaka.....hatuwezi kuishi maisha ya uvunguni tena ktk karne hii. It is pity!!
RUCCI
 
Last edited by a moderator:
Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!

CCM wamezidi - Gazeti lina zaidi ya miaka ishirini nchini. Ilikuwaje likose usajili na likaruhusiwa kuuzwa kwa miaka yote hiyo?.
Huo ni uongo, kuna sababu nyingine ambazo CCM hamuwezi kuziweka wazi.
 
Una chuki na mzalendo wetu watanzania.... Jichambe kimavi hicho kwanza

Mid niwe na chuki naye ili inidaidie mini katika maisha? unapokataa hoja ya Socrates haimaanishi una chuki na Socrates Bali ni jambo huru kwa msomi kuwa na msimamo
 
Una chuki na mzalendo wetu watanzania.... Jichambe kimavi hicho kwanza

Mie niwe na chuki naye ili inisadie nini katika maisha? unapokataa hoja ya Socrates haimaanishi una chuki na Socrates Bali ni jambo huru kwa msomi kuwa na msimamo
 
Kiukweli ile katuni hata mimi sikuipenda naona kama ilikuwa inamdhalilisha raisi wa nchi,naona kama alikosea namna ya kutoa ujumbe labda angetafuta namna nyingine ya uwasilishaji,yaani unamchora raisi wa nchi amezungukwa na mademu halafu unawapa majina eti rushwa upendeleo,kutowajibika na nini sijui,dah!hata kama ndio demokrasia kwangu mimi naona sio kivile kwani pale kama walivuka mipaka na kweli walipaswa kuomba radhi,kwa nchi kama rwanda nadhani na ofisi zao zingesachiwa mpaka kwenye visigino vya waandishi.
 
Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!

Inaonekana na we hujasoma pote, kuna sababu zaidi ya usajili zimetajwa kuandika habari za uongo na cartoon za kudhalilisha ofisi ya Rais. Ni sawa na ukiwa upinzani wanaangalia kama biashara yako inalipa kodi na pia unaowauzia wanashiriki vipi kisiasa
 
Kwa hiyo muda wote huo hawakujua kama halijawa registered au kuna issue nyingine behind the scene?
Huu ni uhuni tu leo ndio wamegundua kuwa halijasajiliwa!!!? Hapa ni suala la escrow tu jinsi lilivyowaumbua, we ngoja hata wafuate utaratibu wa kuli register itakuwa ishu watakumbana na vikwazo kibao, kama kweli walikuwa hawajalisajiri.uhuru wa vyombo vya habari africa bado sana, hususani tz.
 
Kwa hiyo kama mtu ukiwa mwizi uendelee tu kwa sababu umekuwa ukiiba na hushikwi!!! Hakuna marefu yasiyo na ncha.Waliokuwa wakiachia waendelee kinyume cha sheria hawapo.Na suala hapo si tu kufungiwa kama walikuwa hawajasajiliwa na wanauza kwa miaka hiyo 20 SUALA LA KODI vipi walikuwa wakilipa? TRA nawaomba haraka waende ofisi za EAST AFRICAN wafanye TAX AUDIT YA UHAKIKA YA MIAKA 20 YOTE YA USAMBAZAJI WA GAZETI HILO KINYEMELA NCHINI.

Rejea kauli ya J.Myika, serikali ya CCM dhaifu,Rais dhaifu. Maana yake ndiyo hii. Miaka 20 watu wanafanya biashara Tz,viongozi wako kazini kufikiria jinsi ya kujilimbikizia mali tu. Hawana muda wa kufuatilia mambo ya msingi. Wanawaza jinsi ya kupakia twiga kwenye ndege, pembe za ndovu na kusafirisha madawa ya kulevya. Nchi imekuwa ikifanya kazi kwa matukio tu hadi Rais achorwe katuni ndiyo mchukue hatua. Kweli kama ulivyosema hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, ipo siku utawala wa CCM utafika mwisho.
 
kwa hiyo magazeti yote ya nje yanayouzwa Tanzania nayo yamesajiliwa maelezo?
Katafute kwanza sheria ya vyombo vya habari ya mwaka1976, usome. Itakupunguzia maswali mengine
 

negative agenda against Tanzania.

The FREE PRESS is a necessary PILLAR of democracy. Without it, the Government cannot be put in checks and balances.

Does Mwambene suggest that "having a negative agenda..." is akin to conspiring to overthrow the Government?

How can the media keep quiet when wrongdoings are being committed, even if the culprit is the Government itself?

Surely, this will not go well with donors. NO! It wont!

We shall see!
 
Kwa hiyo muda wote huo hawakujua kama halijawa registered au kuna issue nyingine behind the scene?

There must be another issue behindnthe scene. When did they realise it was not registered while the same has been circulating for 20 years in the very same country. What ever is being hidden must be unearthed. This is ridiculous. 29 years in circulation and somebody bans it for a flimsy reason of not having been registered? Unbelievable.
 
There must be another issue behindnthe scene. When did they realise it was not registered while the same has been circulating for 20 years in the very same country. What ever is being hidden must be unearthed. This is ridiculous. 29 years in circulation and somebody bans it for a flimsy reason of not having been registered? Unbelievable.

Kwani kabla ya kuchukua hstua hii ya kulifungia hili gazeti je wahusika walishawahi julishwa au kukumbushwa kusajiri gazeti lao na waka kaidi?
 
Back
Top Bottom