Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!
ndilo nilitaka kuuliza mkuu HNIC, kwamba watafunga na online access!?Assah mwambene bado anaishi karne ya 7
kazeti linapatikana online tena bureeee
watu wanatumiana tuu kwenye whatsapp
ni halali kufungiwa kwa ujinga huu. Tena liwe banned for life
Kwa hiyo muda wote huo hawakujua kama halijawa registered au kuna issue nyingine behind the scene?
Mengi anashindna na serikali haya sasa matokeo hayo
Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!
It has been in our market for 20 years! Why now?
Gazeti lilofungiwa halina uhusuano na IPP media, sasa mengi hapa inakuwaje au ndo lugha ya Malkia.
Hivi wewe ukimgeuza binti yako kuwa mkeo kwa miaka 20 halafu baadae jamii ikakustukia na kukukataza itakuwa inakuonea kisa tu umefanya hivyo kwa muda mrefu?
Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!
Mengi anashindna na serikali haya sasa matokeo hayo
Maccm na serikali yao chakaramu yanaweweseka tu,hizo zingine mbwembwe tu na wenye akili tunajua ni kwa sababu ya ESCROW saga tu!
Waongo. Soma kauli za Mwambene ndio ujue kisa chenyewe. Katika nchi za demokrasia halisi serikali haina mamlaka ya kufungia au kupiga marufuku gazeti lolote. Ni nchi za utawala wa kidikteta tu zinazofanya hivyo. Tanzania tusijidanganye kwamba tuna utawala wa kidemokrasia.Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!