Atakuwa mwehu.Hili gazeti limekuwa punda wa kigali.
Hebu soma mwanajamii forum mwenzetu JMALI alivyofafanua vizuri hili swala.Naomba kwa heshima yake nimnukuu kama alivyofafanua vizuri kuhusu hilo gazeti namnukuu:
"Habari zinazoandaliwa na usalama wa Taifa wa Rwanda huwa zinachapishwa na Newtimes, halafu from there huwa zinasambazwa all over EAC kwa kutumia waandishi wa kulipwa katika media zote influential kama The Citizen na Mwananchi (Tanzania), The independent (Uganda) ambalo linaongozwa na Andrew Mwenda, na The Nation (kenya) hasa kupitia The East African ambapo kuna watu kama frederick golooba mutebi, Wote hawa kazi yao ni kutengeneza image ya Rwanda/kagame na kufanya repairs pale ambapo kagame anakuwa kaharibu. Mfano kwenye kesi za mauaji ya wapinzani wake, M23 etc, ...Andrew mwenda alikuwa na kibarua cha kumtetea kagame kwenye mauaji ya karegeya kwa sababu karegeya pia ni raia wa Uganda, Kwa upande wa huyu mwigamba yeye alikwenda hadi msituni na kufanya mahojiano na Sultani makenga kiongozi wa M23 na kumuandika eti ni "mpigania uhuru" badala ya muasi/gaidi, Bosco Ntaganda wa the same M23 sasa hivi yuko ICC wakati Makenga kahifadhiwa na kagame nchini Rwanda!
Toka awe mhariri wa Citizen, kuna habari nyingi sana kutoka newtimes huwa zinarudiwa kuchapishwa na citizen under "AP"(associated press), "foreign correpondents", ... lakini ukiingia kwenye AP website na huko kwingineko unakuta kumbe originally zimetoka newtimes. Hii ni kwa sababu kila mtu anajua newtimes ni mouthpiece ya kagame hivyo haina credibility. Vile vile anachapisha makala za kuwachafua wapinzani wa kagame mfano makala dhidi ya Paul Rusesabagina (wa Hotel Rwanda) etc, makala za kumponda Shyrose, kumponda Membe na wale wote against kagame, in short everything ambacho kagame media inasambaza utakikuta the citizen. Richard Mgamba ameshawahi kujadiliwa sana humu JF so this is not unexpected, anafanya wajibu wake huko Rwanda." Mwisho wa kunukuu.