Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Kwa hiyo muda wote huo hawakujua kama halijawa registered au kuna issue nyingine behind the scene?

Acha tu waondoke, Editor wa hili gazeti alitumwa na Kagame kuja kuponda msimamo na mchango wa Tanzania ktk suala la FDRL.
 
Waongo. Soma kauli za Mwambene ndio ujue kisa chenyewe. Katika nchi za demokrasia halisi serikali haina mamlaka ya kufungia au kupiga marufuku gazeti lolote. Ni nchi za utawala wa kidikteta tu zinazofanya hivyo. Tanzania tusijidanganye kwamba tuna utawala wa kidemokrasia.

Tuwe na democratic au Dictatorial Government.
Nimesema ni bora walifungie kabisa.
 
Excuse ya kufungia gazeti inaonyesha jinsi gani serikali ya Tanzania ni kituko.

In other words, they have been in business for 20 years without being registered?

Asilimia kubwa wanaosoma hili gazeti wanaweza kulisoma online ffs.

Unalalamika nini wakati uwezo wa kulisoma online unao.?
 
tatizo ni kuwa na viongozi vilaza na wananchi vilaza. leo wanashangilia kufungiwa hilo gazeti pasipokujua linaweza kupatikana kama mmiliki akiamua. kwani anaweza kuomba kibali kwenye nchi zingine na akahamisha mitambo yake na magazeti yakawa yanaletwa kama bidhaa zingine. lazima tuwe na ufikiri nje ya box miaka 20 gazeti halijasajiliwa, rita wako wapi?tra wako wapi? wizara ya habari iko wapi? kabla ya kulifungia taasisi zote hizo zilitakiwa kushughulikiwa

Mkuu, acha walipeleke gazeti Lao huko sudani ya kusini. Sisi huku atulitaki kabisa, tukiwa na shida nalo tutalifuata online.
Wanahutaji kujifunza kuheshimu Tanzania.
 
Mkuu, acha walipeleke gazeti Lao huko sudani ya kusini. Sisi huku atulitaki kabisa, tukiwa na shida nalo tutalifuata online.
Wanahutaji kujifunza kuheshimu Tanzania.

Kwa jinsi unavyo hangaika kutetea makambunga wenzako utakuwa mmoja wa walio shiriki ktk maamuzi ya kipumbavu ya aina hii!! Dunia imebadilika sana,utawala unao fanya hila kufungia gazeti kwasababu haupendi kuambiwa ukweli au kusikia maoni ya wengine ni utawala wa majuha!!

Kinyume na wengi wanao dhani Watanzania wengi walioko ughaibuni ni wabeba box na hawana mchango wa maana,mimi siku hizi nimegundua kuondoka kwa wingi kwa kizazi hiki ambacho kilikwisha staarabika na kuelimika ndiko kumepelekea makambunga wengi kupata madaraka! Na kwasababu ndoto zao zilikuwa kufika dar,kupata pesa,madaraka na utajiri ndiyo hii leo tunashuhudia watawala malimbukeni,washamba na wasio jielewa kama wewe!!!
 
Mkuu, acha walipeleke gazeti Lao huko sudani ya kusini. Sisi huku atulitaki kabisa, tukiwa na shida nalo tutalifuata online.
Wanahutaji kujifunza kuheshimu Tanzania.
You are part of the problem.
 
You are part of the problem.
Wewe ndio tatizo hivyo vi nakala vyao vinavyo hii represent serikari ya Tanzania kama wafu isiyokuwa na weledi kwenye maswala ya EAC na kuzubaa kiuchumi bila ya kujali misingi na protectionism inayofikiliwa na siasa zetu.

Sasa mtu kama wewe ukitengenezewa nakala yenye stereotype iliyokwisha amuliwa ki agenda only constructed upon opposition politics at times unaweza kuliona gazeti la maana wakati agenda ya wenzako ziko mbali, achilia mbali chuki zao za taifa kikubwa kwenye malengo ya nakala kama hizo ni kuchocchea moto wa kuishinikiza serikari for the wrong reason wakijua wazi hoja za siasa za ndani zi appeal kwa kina nani ndio maana unaweza kuona ni viongozi gani pia ambao wameshatekwa kwa malsahi binafsi.

Nilijua wewe jajusi kweli kumbe mdosho tu.
 
Hueleweki!
 
Hueleweki!
I cant uncertain that kwa sababu kwa nilichoandika unataka kuelewa natokea wapi kuna maswala ya media institution and representation, media ideology, stereotyping to gain target audience and construction to win appeal of variety ndipo unapotekwa msomaji kama wewe.

Sasa usishangae Dr.Slaa anapofungamana na Kagame tofauti na msimamo wa Tanzania kwenye maswala ya kitaifa kwa sababu keshaliambatinisha gazeti kama hili anti establishment be it wenyewe wana agenda nyingine kuna wakati I feel Im too technical or I write with the expectation the debaters at-least do background checks on matters they argue about, well use your sixth sense kama bado unielewi.
 
10387611_853800358006890_5345091964080824954_n.jpg
 
Sio kufungiwa tu bali hata kupelekwa mahakamani.....katuni gani ya kumchora mkuu wa nchi yenye mamlaka yake kamili?
huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa mkuu wa nchi husika na wananchi wake wote ukiwamo wewe unayesoma hapa ....
 
Sijaona kosa hapo,ukweli mchungu tu kwa mhusika
 
Sio kufungiwa tu bali hata kupelekwa mahakamani.....katuni gani ya kumchora mkuu wa nchi yenye mamlaka yake kamili?
huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa mkuu wa nchi husika na wananchi wake wote ukiwamo wewe unayesoma hapa ....

Ki ukweli huu ndio uhalisia wa nchi yetu
 
Huyo aliyechora katuni ilikuwa afanyiziwe kama wale wa Ufaransa, kufungia tu hilo gazeti haitoshi. Wale vijana wa kazi wa Kitanzania wenye uzalendo siku hizi wako wapi?

cc Ulimboka.
 
Back
Top Bottom