Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Gazeti hili Mara nyingi limekua likielezea ki negative misimamo ya Tanzania kwa baadhi ya mambo ya kutaka kuburuzana kwenye jumuiya ya EAC.Ni hiyo tu Sababu kuu.
 
Hi nchi ya mazingaombwe kweli kweli, matangazo ya biashara yalikua yanakwenda huko, tena mengine toka kwenye taasisi za serikali kabisa kumbe gazeti lilikua halijasajiriwa; Najiuliza tena kwa mara nyingine, hawa walioruhusu gazeti lisilosajiriwa kusambaa nchini tokea mwaka 1995 wanafanywaje? Mishahara (kodi zetu) wamekula halafu waendelee tu kua ofisini? Hili halikubaliki hata kidogo aise.
 
Kwa taarifa yako walishaomba msamaha, soma la leo kama utaweza kulipata

La leo nitalipata wapi bosi,si limeshafungiwa? any way kama wameomba radhi basi ina maana wamekubali kosa na wao wenyewe wameona wamekosea basi wawafungulie ilimradi sasa wanachotakiwa hao wenye gazeti ni kufuata sheria za nchi na kuhakikisha gazeti lao lipo nchini kwa mujibu wa sheria za nchi na sio kiujanjaunja kama ilivyowatokea,maana kosa lao kubwa ni ile katuni tu,hili la kuwepo nchini kinyume na utarartibu ni sababu tu,wao waliangalia upenyo wakaupata wakalifungua.
 
Wameambiwa kwa kuwa hawajasajiliwa.Soma kila kitu kimeandikwa wazi.Hilo la ESCROW halimo!

There is a reason, and the reason has not been mentioned. The excuse mentioned is not a reason. Just remember that we are in 2015.

waandishi wa bongo na magazeti yao ni rahisi kuwachakachua, kenya kuna ugumu kiasi.
 
Kama gazeti halikusajiliwa ni kivipi hawakujua hilo na kilifungia miaka hiyo yote hadi waje kulifungia 2015 wakati limemuangazia JK na udhaifu wake serikalini
 
Hi nchi ya mazingaombwe kweli kweli, matangazo ya biashara yalikua yanakwenda huko, tena mengine toka kwenye taasisi za serikali kabisa kumbe gazeti lilikua halijasajiriwa; Najiuliza tena kwa mara nyingine, hawa walioruhusu gazeti lisilosajiriwa kusambaa nchini tokea mwaka 1995 wanafanywaje? Mishahara (kodi zetu) wamekula halafu waendelee tu kua ofisini? Hili halikubaliki hata kidogo aise.

Habari ya kusajikiwabinaonekana inetumiwa tu kwa sababu wana beef.

Otherwise mambo ya kusajikiwa yanaonekana si muhimu Tanzania.

Na hata aasa unaweza kuchunguza ukajuta kuna magazeti mengine hayajasajikiwa.

Hivi kwa mfano magazeti/ majarida yote ya kimataifa yanayouzwa Tanzania yamesajiliwa?

Newsweek, Time, The Economist etc, yote yamesajiliwa?
 
Unachosema si kweli
Gazeti liko kibiashara, website ni ya bure.Ukifungia gazeti maana yake pesa za mauzo haziingii tena.Mishahara na marupurupu ya wafanyakazi yanakuwa mgogoro.Faida kwa wanahisa zinaingia matatani.Hisa zinashuka bei.Na yaweza sababisha gazeti kufilisika.

Hatua ya kulifungia gazeti ni hasara kubwa kwa gazeti kuliko kufunga website.

I am talking from an information point of view.

Ukisema ufungue gazeti kwa sababu hutaki wanachoandika, watu wata copy paste article kutoka website na kuziweka JF na kujadili.

Hujafanya lolote bado.

Misinformation is fought with good information.

Habari za kufungia magazeti ni udikteta na kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu.
 
Habari za kufungia magazeti ni udikteta na kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu.

Kufungia gazeti lisilosajiliwa ni udikiteta? Miaka yote hiyo kwa nini hawakujisajili? Hili ndio ulitakiwa uwaulize wenye gazeti.Kuwa kwa nini hamkujisajili miaka yote hiyo?
 
Kufungia gazeti lisilosajiliwa ni udikiteta? Miaka yote hiyo kwa nini hawakujisajili? Hili ndio ulitakiwa uwaulize wenye gazeti.Kuwa kwa nini hamkujisajili miaka yote hiyo?

Newsweek, Time, The Economist yapo ofisi za serikali.

Mpaka Ikulu wana subscribe.

Yamesajiliwa wapi?

Au hii habari ni kisingizio maalum kwa "The East African" tu?

Granted, I am not disputing that "The East African" may have some nefarious motives towards Tanzania. East African Community regional politics may very well be at play. Someone had raised this before. So I get that.

But this selective banning due to registration is an obvious feigned excuse. It refkects our governmwnt insincerity and lack of strategy.

Again, banning newspapers in this age will do more harm than good. The tarnished image of the country alone makes the move not worth the cost, especially since the online version is still available.

The government can do better by squarely rebutting every malicious slander and machination published by "The East African".

Banning it is seeking the easy way out, which is not necessarily the correct way out.
 
There is a reason, and the reason has not been mentioned. The excuse mentioned is not a reason. Just remember that we are in 2015.

waandishi wa bongo na magazeti yao ni rahisi kuwachakachua, kenya kuna ugumu kiasi.

Kwa hiyo ulitaka wakenya ndio waje waandike habari za uchaguzi tanzania? Kawaambie waandike habari za al shabab kwao ziko za kutosha.Hatuwahitaji Tanzania.
 
Gazeti hili Mara nyingi limekua likielezea ki negative misimamo ya Tanzania kwa baadhi ya mambo ya kutaka kuburuzana kwenye jumuiya ya EAC.Ni hiyo tu Sababu kuu.

Wamesema halijasajiliwa hayo mengine unatunga wewe.
 
Wamesema halijasajiliwa hayo mengine unatunga wewe.

Aliyosema ni kweli na tushayajadili hapa.

Habari ya gazeti kutosajiliwa ni kisingizio, serikali ilikuwa wapi siku zote?

Kama gazeti halikuwa limesajiliwa imekuwaje mpaka serikali imelitumia hapo nyuma?

Na magazeti mengi tu mbona yanauzwa Tanzania bila kusajiliwa, kwa nini lifungiwe hili tu?
 
Kwa hiyo ulitaka wakenya ndio waje waandike habari za uchaguzi tanzania? Kawaambie waandike habari za al shabab kwao ziko za kutosha.Hatuwahitaji Tanzania.

Nationalism is an infantile disease. It is the measles of mankind - Albert Einstein.
 
Nchi yetu inavyoongozwa inasikitisha sana. Inakuwaje kiongozi anakuwa na ujasiri wa kujidhalilisha na kuidhalilisha nchi kiasi hiki? Kwanini Mwambene hana ujasiri wa kulifungulia hili gazeti kesi ya madai ya kuendesha biashara nchini bila kusajiliwa na zaidi ya hapo kuwapelekea madai ya kodi yote waliyotakiwa kulipa tangu 1995?
Inaonyesha wazi kuna ufisadi nyuma ya hili jambo pia. Haipendezi hata kidogo kila siku kusikia kauli za kukurupuka kila mahali. Iwe Bungeni, ndani ya Ofisi za serikali watu wanakurupuka tuu. Hakuna anayeweza kutulia akawaza na kufanya mambo sahihi na ya busara?.
 
Kwanini Mwambene hana ujasiri wa kulifungulia hili gazeti kesi ya madai ya kuendesha biashara nchini bila kusajiliwa na zaidi ya hapo kuwapelekea madai ya kodi yote waliyotakiwa kulipa tangu 1995?

Hatua hiyo itafuata.Ya kwanza ni hiyo ya kuwafungia.
 
Mengi anashindna na serikali haya sasa matokeo hayo

Kama hujui kitu ni vema kunyamaza! Aidha hata kama unachuki binafsi tafadhari fichama tu...... ndiyo maana hapa JF kuna slogani inasema ficha upumbavu wako.. Hebu fatilia hayo uliyoyaandika. Gazeti hilo ni gazeti dada la Mwananchi je kwa upoe wako nalo mwananchi ni la Mengi?
 
aim sure kuna watu humu hata kulisoma hawajawahi... na wanetetea upuuzi, acha wafungiwe.. nchi inasheria na taratibu zake
 
Hatua hiyo itafuata.Ya kwanza ni hiyo ya kuwafungia.

The timing is wrong! including the reasons given after what was mentioned during the discussions. Busara hakuna hapo Mkuu hata ukitetea, anatakiwa yeye ajiuzulu kwa kushindwa kusimamia hiyo shughuli miaka 20 iliyopita! Kwa sasa inafanana na mtu aliyedai hongo akakataliwa kwahiyo anawafanyia ubaya kuwakomoa.
Huwezi kusafisha hii ieleweke vizuri. Hiki ni ki-Escrow cha style nyingine tuu.
 
Back
Top Bottom