Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Mwambene is a looser! tutalisoma mtandaoni....
Una chuki na mzalendo wetu watanzania.... Jichambe kimavi hicho kwanza
The east african sio la mengi
Atakuwa mwehu.Hili gazeti limekuwa punda wa kigali.
Hebu soma mwanajamii forum mwenzetu JMALI alivyofafanua vizuri hili swala.Naomba kwa heshima yake nimnukuu kama alivyofafanua vizuri kuhusu hilo gazeti namnukuu:
"Habari zinazoandaliwa na usalama wa Taifa wa Rwanda huwa zinachapishwa na Newtimes, halafu from there huwa zinasambazwa all over EAC kwa kutumia waandishi wa kulipwa katika media zote influential kama The Citizen na Mwananchi (Tanzania), The independent (Uganda) ambalo linaongozwa na Andrew Mwenda, na The Nation (kenya) hasa kupitia The East African ambapo kuna watu kama frederick golooba mutebi, Wote hawa kazi yao ni kutengeneza image ya Rwanda/kagame na kufanya repairs pale ambapo kagame anakuwa kaharibu. Mfano kwenye kesi za mauaji ya wapinzani wake, M23 etc, ...Andrew mwenda alikuwa na kibarua cha kumtetea kagame kwenye mauaji ya karegeya kwa sababu karegeya pia ni raia wa Uganda, Kwa upande wa huyu mwigamba yeye alikwenda hadi msituni na kufanya mahojiano na Sultani makenga kiongozi wa M23 na kumuandika eti ni "mpigania uhuru" badala ya muasi/gaidi, Bosco Ntaganda wa the same M23 sasa hivi yuko ICC wakati Makenga kahifadhiwa na kagame nchini Rwanda!
Toka awe mhariri wa Citizen, kuna habari nyingi sana kutoka newtimes huwa zinarudiwa kuchapishwa na citizen under "AP"(associated press), "foreign correpondents", ... lakini ukiingia kwenye AP website na huko kwingineko unakuta kumbe originally zimetoka newtimes. Hii ni kwa sababu kila mtu anajua newtimes ni mouthpiece ya kagame hivyo haina credibility. Vile vile anachapisha makala za kuwachafua wapinzani wa kagame mfano makala dhidi ya Paul Rusesabagina (wa Hotel Rwanda) etc, makala za kumponda Shyrose, kumponda Membe na wale wote against kagame, in short everything ambacho kagame media inasambaza utakikuta the citizen. Richard Mgamba ameshawahi kujadiliwa sana humu JF so this is not unexpected, anafanya wajibu wake huko Rwanda." Mwisho wa kunukuu.
Hii kitu inaweza kuwaaibisha zaidi watawala wetu lakini zaidi kutuaibisha Watanzania kwa ujumla wetu.
Kwamba operations za gazeti sio kama mtandao wa madawa ya kulevya au uuaji wa tembo kwa maana ni kitu kilicho wazi na hadharani. Hata serikali yenyewe imekuwa ikiweka matangazo yake karibia kila toleo alafu miaka 20 baadae unatwambia kuwa walikuwa wapo kinyume cha sheria!?????????????????
Mwenye kumbumbu ya yule mbunge aliyewahi kutamka kuwa vizazi vijavyo huenda vikafukua mafuvu yetu kuangalia kama kweli tulikuwa binadamu wa kawaida anikumbushe alikuwa anaitwa nani!
=Kikwete hataki kukosolewa. Anataka sifa tu, basi. Salva Rweyemamu, Muhingo Rweyemamu, Premi Kibanga nk wengine waliifanya kazi hiyo ya kumpamba leo wanaula. Wameuza utu wao kabisa. Sasa hivi si waandishi tena, ni mbwa wa Kikwete. The East African na ----------- mafichua siri, yamefungiwa. Udikteta wa Kikwete. Rais ajaye ayafungulie magazeti hayo. Kikwete hafai uongozi, ni mhuni tu mmoja kama alivyo mwita Prof. Lipumba...!Kwa hiyo kama mtu ukiwa mwizi uendelee tu kwa sababu umekuwa ukiiba na hushikwi!!! Hakuna marefu yasiyo na ncha.Waliokuwa wakiachia waendelee kinyume cha sheria hawapo.Na suala hapo si tu kufungiwa kama walikuwa hawajasajiliwa na wanauza kwa miaka hiyo 20 SUALA LA KODI vipi walikuwa wakilipa? TRA nawaomba haraka waende ofisi za EAST AFRICAN wafanye TAX AUDIT YA UHAKIKA YA MIAKA 20 YOTE YA USAMBAZAJI WA GAZETI HILO KINYEMELA NCHINI.
Hizo sababu ni zako sisi tunajua kwakuwa hawajasajiliwa basi safi sana fungia milele.kwa sababu ya ishu ya escrow si ndio gazeti la kwanza kufichua au!!!
Mungu wetu ni mwema sana hili gazeti limefanya kazi ya uchochezi na kuzalilisha mda mrefu sana taifa letu sasa wamepata walichokuwa wanakitafuta safi kabisa manina zao.At last, Mungu amejibu maombi. Gazeti la The East Africa limekuwa mstari wa mbele kuichafua Tanzania kwa kipindi kirefu sana na hata columnist/Opinions column imekuwa biased sana na almost kuikandia Tanzania. Personally, nimewahi kukwaruzana na waandishi wa gazeti hili kwa kuandika Tanzania kwa mabaya tu. Kuna watu humu, wana-comment wasichojua, hili gazeti limekuwa na chuki kubwa kwa Tanzania kwa muda mrefu, na serikali ilikuwa inawavumilia tu. I wish lisirudi kabisa kwenye circulation in TZ, Once again, Thanx govt. Mungu ibariki Tanzania
Kuna watu mna aleji na Mengi kweli, sijaelewa Mengi kaingiaje hapo, hili gazeti halina uhusiano wowote na Mmachame wa watu, producer na mmiliki wake ni Mkenye.
Anyway, najiuliza tu, gazeti limeanza kusambazwa since Mkapa anaingia madarakani mwaka 1995, serikali imewahi kufungia magazeti kama Majira, Sanifu, Tingisha, Komesha n.k kwasababu mbalimbali, how comes muda wote huo hili gazeti liliendelea kutoka na kusambazwa nchini bila usajiri? Serikali wawe wakweli, waseme tu kosa la The East African ni nini, wanaweza kwenda kuomba usajiri hata leo lakini kwa vile wana makosa ambayo serikali haitaki kuyaweka wazi then hata huo usajiri hawatapewa! Semeni makosa yao ili kama kujirekebisha wafanye hivyo; ni ujinga kulifungia gazeti la nje ya nchi eti lisiingie nchini while huko kwao linaendelea kutoka na unajua lipo kwenye internet, utafiti mdogo tu ulihitajika hapa kuona hiyo decision haiku sawa, wengi wanao nunua magazeti ya Kingereza wana access na internet, sasa kufungia sio suruhisho, tuache kufanya maamuzi ya Enzi za ujima!
lazima tuwe na ufikiri nje ya box miaka 20 gazeti halijasajiliwa, rita wako wapi?tra wako wapi? wizara ya habari iko wapi? kabla ya kulifungia taasisi zote hizo zilitakiwa kushughulikiwa
Siyo zinatakiwa kushughulikiwa bali zote pamoja zinatakiwa zilishughulikie hilo gazeti kwa kufanya biashara bila kusajiliwa kwa miaka 20 ili liwe fundisho kwa magazeti mengine yanayoendesha biashara bila kusajiliwa.
Hiki kituko kimenifikirisha sana na kurejea jinsi gani Mwl. Nyerere alitumia Wizara ya Habari.Maelezo na Taasisi kama Shihata,RTD kujibu mapigo pale Serikali ya wakati huo ikiona imeshambuliwa.
Leo hii utadhani Tanzania haina Information minister,wala Msemaji wa Serikali!! Jibuni mapigo kwa busara badala ya jazba za kijinga kama hizi. Nimekuwa naandika kwa kusema kwamba Rais ajaye sifa kubwa itakuwa kupambana na rushwa,uzembe serikalini,kujenga uchumi,kuliunganisha taifa tena na kujenga upya mahusiano na majirani zetu!
Miaka 20 serikali haijui NMG inafanya biashara bila kusajiliwa? Si huu ndio uzembe katuni unagusia. Incompetence uliopitiliza.
Miaka 20 serikali haijui NMG inafanya biashara bila kusajiliwa? Si huu ndio uzembe katuni unagusia. Incompetence uliopitiliza.
Ukifungia gazeti miaka hii hakikisha unafungia na website. Ama sivyo unatwanga maji.