Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

Kama lilikuwa in circulation bila kukidhi mahitaji ya sharia zetu basi maamuzi yako poa kabisa.
 
Kwani baada ya miaka 20 ndo leo wanastuka kuwa gazeti lilikuwa halijasajiliwa? Ina maana magazeti yote ya nje yanayouzwa nchini yatafungiwa? serikali lina lao jambo!
 
kujihisi tu ndio shida yenu?? Gazeti litafunguliwa sooon!! Hakuna mahali ametajwa jakaya mrisho kikwete (rais wa tanzania) so inshu itaendeshwa kimahakama zaidi kuliko kichama,,shwain

hatuwezi kupingana na Udhanifu wa mtu. Kaa ukidhan kama unavyodhani
 
Katuni za mnyakyusa GADO ndio zinawaumiza watu,sidhani kama kuna zaidi ya hilo!!
 
Hongera serekali kwa kuchukua hatua ya kulifungia gazeti hilo.kwa wafuatiliaji wa hilo gazeti wanatambua kabisa lilikuwa na agenda chafu za siri dhidi ya serekali ya tanzania na watanzania.limekuwa likiibeza serekali ya tanzania huku likipamba rwanda na kenya.kwenye issue ya fdlr limekuwa mstari wa mbele kuishinikiza serekali kuwapiga fdlr na pia kubeza na kumkejeli mh Raisi na serekali yake.masuala ya ufisadi ya ndani ya nchi hatuhitaji wao kutusaidia kuyapigia kelele kwasababu hayawahusu.wamekuwa wanatake advantage ya matatizo yetu na kuitangaza tanzania vibaya for their own benefit(kenya and rwanda).wamekuwa mstari wa mbele kupandikiza chuki kwa watanzania na serekali yetu.we dont need them.wapeleke magazeti yao kenya na rwanda.ma spy wakubwa
 
Afadhali muda wake ndio unaishia. Kufungia magazeti au kuwafunga watu midomo sio dalili nzuri. Asisahau Rais ajaye atalifungulia na wataandika sana uozo wake katika miaka kumi aliyotawala.
 
wanaendesha kila kitu kishikaji ila ukiwaingilia maslahi ndio utaambiwa unavunja sheria.
 
Excuse ya kufungia gazeti inaonyesha jinsi gani serikali ya Tanzania ni kituko.

In other words, they have been in business for 20 years without being registered?

Asilimia kubwa wanaosoma hili gazeti wanaweza kulisoma online ffs.
 
Kwahiyo miaka yote hawakuliona Kama halijasajiliwa?
Hii kitu inaweza kuwaaibisha zaidi watawala wetu lakini zaidi kutuaibisha Watanzania kwa ujumla wetu.
Kwamba operations za gazeti sio kama mtandao wa madawa ya kulevya au uuaji wa tembo kwa maana ni kitu kilicho wazi na hadharani. Hata serikali yenyewe imekuwa ikiweka matangazo yake karibia kila toleo alafu miaka 20 baadae unatwambia kuwa walikuwa wapo kinyume cha sheria!?????????????????

Mwenye kumbumbu ya yule mbunge aliyewahi kutamka kuwa vizazi vijavyo huenda vikafukua mafuvu yetu kuangalia kama kweli tulikuwa binadamu wa kawaida anikumbushe alikuwa anaitwa nani!

Mbona kiko poa tu, kwani wameongeza chumvi? Hahaahahaha thanks

Nimeipenda hiyo CRONTISM:
1. (n) Favoritism shown to friends and associates
(as by appointing them to positions without
regard for their qualifications)

Hapo lazima wawake tu.
 
Nimeipenda hiyo CRONTISM:
1. (n) Favoritism shown to friends and associates
(as by appointing them to positions without
regard for their qualifications)

Hapo lazima wawake tu.

Na ndio kinachokwenda kutokea tena leo
 
Hii kitu inaweza kuwaaibisha zaidi watawala wetu lakini zaidi kutuaibisha Watanzania kwa ujumla wetu.
Kwamba operations za gazeti sio kama mtandao wa madawa ya kulevya au uuaji wa tembo kwa maana ni kitu kilicho wazi na hadharani. Hata serikali yenyewe imekuwa ikiweka matangazo yake karibia kila toleo alafu miaka 20 baadae unatwambia kuwa walikuwa wapo kinyume cha sheria!?????????????????

Mwenye kumbumbu ya yule mbunge aliyewahi kutamka kuwa vizazi vijavyo huenda vikafukua mafuvu yetu kuangalia kama kweli tulikuwa binadamu wa kawaida anikumbushe alikuwa anaitwa nani!

Alikua Jackson Makweta mkuu (RIP)
 
Miaka 20 limekuwa linafanya kazi halafu wanalifungia kwa kuwa halikusajiliwa,mwenye kosa ni msajili ndio anatakiwa awajibike sio wenye gazeti
 
Kwa hiyo makosa yaendelee kwa kuwa walikosea toka mwanzo?

Walitakiwa wajikosoe wao kwa kuwajibika, mtu/kampuni ifanye biashara kwa muda wa miaka 20 ndani ya nchi na wao viongozi wapo na sheria pia zipo bila kutambua kuwa wanafanya kosa!!!!! sasa kazi yao ni nin?
 
sawa, baada ya kujikosoa nn kinafata waendelee na makosa?
 
Back
Top Bottom