Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,738
- 3,236
Kwani ile kamati ya Ummy iliyosababisha avunje na kusimamisha wataalamu pale Maabara ya Taifa ilikuja na majibu gani ?
Hebu nisome tenaWee sijuzote bichwa lako linakutesa kubeba bila sababu.
😆😁😀
Si bora ulitue?
Wewe hapo wanakwambia ni takwa la mashirika ya ndege, yaliyowekwa na nchi ambazo hizi ndege zinaenda.
Tuko pamoja?
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo Folded hands. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.Du Corona inataka kuwakwamisha watu safari za ubeberuni.[emoji39][emoji39]
Naam hapa sasa unazungumzaSidhani kama watakuruhusu kupima bila passport, mimi nimepima kama mara mbili wakati niko huko, pia niliwahi pima Uganda na South Sudan, kwa South Sudan unapata majibu kesho yake na pia waweza download bila kufika hapo ulipopimia.
Mbona unanifokea mkuu!.mi mwananchi wa kawaida tu ,unataka niwape msaada gani?. Ujinga uliouona kwangu ,Kama we mwelevu si uwasaidie .Mimi msaada wangu kwa ujinga ulionipa na u ccm ni kupima iyo covid 19 maisha yangu yaendelee mbele.welevu mnatuomba wajinga tuwasaidie ,hii nchi ya ajabu sanaNime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo Folded hands. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.
Natamani uelewe kuwa unaweza onekana kipimo cha malaria kinasoma +ve, but huumwi. More precisely: waafrica wengi ukiwapima TB utakita wako ppsitive but hawaumwi. Hii ni elimu maalum kwa watu maalumNilichokimaanisha nikuwa tumeambia hakuna corona alaf itaokea vyeti vina positive sasa aliyetangaza hakuna ugonjwa tunamuweka katika hali gani mbele ya jamii ya kimataifa
Nafikiri kichocheo ni kuwa wageni wanaingia free, no quarantineKuna fomu unajaza,na nchi unayokwenda,inawezekana wasiosafiri majibu yanachelewa,sina uhakika na hilo mkuu ,japo nimeona Tanzania ni kama Exit country,raia wengi wa Rwanda, Burundi,congo hata kenya naona wanapima na kuanzia safari hapa kwetu,possiblly hatuna complications kwenye ishu ya vipimo tofaut na nchi zao
Siyo kweliKwa maana nyingine hapa Mganga Mkuu anakubali kuwa CORONA ipo Tanzania na kwamba yule Mtanzania Mmoja ametudanganya na tutakufa.
Elimu maalum kwa watu maalumNatamani uelewe kuwa unaweza onekana kipimo cha malaria kinasoma +ve, but huumwi. More precisely: waafrica wengi ukiwapima TB utakita wako ppsitive but hawaumwi. Hii ni elimu maalum kwa watu maalum
Mbona una stress sana, kuwa makini usije ukapata stroke!Ungekuwa na 5% tu ya uwezo wangu wa kondoo usingeandika UPUMBAVU kama huu ZWAZWA mkubwa wewe!
Mbona una stress sana, kuwa makini usije ukapata stroke!
Maneenerr...
Kuna uzi ulikuja juzi hapa. Hakuna kima itavuka boda bila kuwA cleared Covid Free...
Lets see where this is gonna take us..