Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

Usinifananishe mimi na Baba yako mwenye ZERO BRAIN ambaye angeweza kabisa kuinusuru Tanzania kuwa na mpumbavu kama wewe kama angetumia kinga.
Mkuu uelewa wako ni zero, kwa sasa ni kama sheria zisizo rasmi kuwa unaposafiri kwenda nchi za nje ni lazima kupimwa virusi uwe navyo au usiwe navyo lazima upimwe na mashirika ya ndege na baadhi ya nchi haziruhusu mtu kutoka nje ya nchi kuingia nchini mwao bila kufanyiwa vipimo,ni kama kadi ya ugonjwa wa manjano unayotakiwa kuwa nayo baada ya chanjo,haijalishi una ugonjwa au la, siasa zako peleka Ufipa
 
Nani anaamini kama watanzania wanapima kweli huku Rais wao akisema hakuna corona ?
Mkuu usiwe mbishi bila sababu za msingi,binafsi nimepimwa nikapata cheti na nimekitumia kusafiri na nimerud,kinakubalika ,wala hakuna mahala nilikuwa detained sababu natoka Tanzania,hata huko nilikokwenda japo ni Africa hii hii ,wavaa barakoa ni wachache Sana sana,.,kama hatuaminiwi tusingeruhusiwa kusafiri,
 
By clouds Media kupitia twitter:

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi

View attachment 1659692
Alafu inazidi kuwamaliza wao tu,hii corona kama ina macho vile
 
Naamini hata ndege zetu wageni wanaziofia, uwezi panda ndege kwa watu wanaojali afya zao dhidi ya Covid-19 za Nchi ambao hazichukui hatua hata ya kutoa takwimu, kujua sasa tuna hali gani na tuchukue hatua gani!
 
Mbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Sijajua umeelewa namna gani bandiko la awali. Sijajua kwanini umetoa maoni haya.

Kitabibu: lazima watu wanaonda hospitali na dalili mbali wapimwe covid .


Global demand: ni lazima kuonesha majibu ya kipimo cha covid unaposafiri
 
Sawa inawezekana story zikawa za vijiweni maana hatufahamiani .. Ikatokea umepimwa na ukakutwa uko positive certificate yako itakuwa certified kwa positive nini impact yake kwanza kwa serikali ambayo imesema hakuna ugonjwa.
Ni kweli kuwa hujui impact ya kupata majibu positive‼️‼️‼️⁉️⁉️⁉️😲
 
Hawajasema Corona haipo bali the prevalence is negligible. Na kwa nini mnashabikia kuwepo kwa Corona.Tundu alizunguka nchi nzima akimtukana JPM na hakuvaa barakoa wala kufata standard za WHO mbona hajafaa? MAREKANI wameendesha uchaguzi na Corona ikiwepo.mbona hawajateketea? Acheni uoga. Corona ni mafua makali kama magonjwa mengine.
 
Lazima wapinge,kama Tanzania hakuna Corona hao jamaa wanapima nini sasa,huoni kama hiyo ni matumizi mabaya ya fedha za umma?unapima kitu ambacho hakipo?
Sijajua umeelewa namna gani bandiko la awali. Sijajua kwanini umetoa maoni haya.

Kitabibu: lazima watu wanaoenda hospitali na dalili mbali wapimwe covid .


Global demand: ni lazima kuonesha majibu ya kipimo cha covid unaposafiri
 
Hii nchi hata kuihurumia naona aibu ! Si wanasema corona hakuna , wanapima nini sasa ?
mbona maelezo yanaeleweka kabisa, taratibu za kusafiri nje ya nchi inakutaka kuwa na covid certificate, wewe na mimi tusiosafiri haituhusu
 
Excellent question Sir! 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Sawa inawezekana story zikawa za vijiweni maana hatufahamiani .. Ikatokea umepimwa na ukakutwa uko positive certificate yako itakuwa certified kwa positive nini impact yake kwanza kwa serikali ambayo imesema hakuna ugonjwa.
 
By clouds Media kupitia twitter:

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi

View attachment 1659692
Kwani hii ngoma bado ipo?
 
Back
Top Bottom