Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kwahiyo wote wanaopimwa ni negative?Sasa mkuu hao wanaoenda nje watapataje ruhusa wakati sheria zinataka mtu apimwe..😅
Kwahiyo wote wanaopimwa ni negative?Sasa mkuu hao wanaoenda nje watapataje ruhusa wakati sheria zinataka mtu apimwe..😅
Sasa mkuu hao wanaoenda nje watapataje ruhusa wakati sheria zinataka mtu apimwe..😅
Tuna assume wote wapimwao ni negative maana mmeshatangaziwa hakuna covid 19, chamsingi upate verified certificate for covid test ambayo itakusaidia mpakani hautasumbuliwaMbona wanatoa ndani ya 24 hrs mimi nimepata hiyo huduma hivi karibuni
Ukiona serikali ishaanza kutaja taja hili neno Covid-19 mara nyingi hivi,ujue kuna mfumuko ushaanza pahala
Wanaanza stori stori hizi kujenga uhalali...
I smell a lie here
Kuna mfumuko ushaanza
Anyway kupimwa tunapimwa ,kama kuna assumption ya kutoa negatives zote hiyo sijui,binafsi yako umewahi kupata huduma hii,au unapata taarifa toka vijiweni?Tuna assume wote wapimwao ni negative maana mmeshatangaziwa hakuna covid 19, chamsingi upate verified certificate for covid test ambayo itakusaidia mpakani hautasumbuliwa
Mganga mkuu hakasema kuwa covid ipo, ila anatatua kero iliopo kwa wanaosafiri, huwez kupita border km huna negative certificate ya covid, mfano hapo namanga tuu wanasumbua balaa km huna wanakurudisha ulipotoka, na watakuruhusu km ulipima ndani ya masaa 96(siku nne) imagine unapima leo hafu majibu yanatoka baada ya siku tatu, chukulia upo dar unaenda Nairobi kwa basi maana yake ukishafika border cheti chako kitakuwa kishapita muda wake kuwa valid
toa ushahidi?COVID19 ipo Nchini na wengi wanakufa. Chukua tahadhari husika.
toa ushahidi?
Sawa inawezekana story zikawa za vijiweni maana hatufahamiani .. Ikatokea umepimwa na ukakutwa uko positive certificate yako itakuwa certified kwa positive nini impact yake kwanza kwa serikali ambayo imesema hakuna ugonjwa.Anyway kupimwa tunapimwa ,kama kuna assumption ya kutoa negatives zote hiyo sijui,binafsi yako umewahi kupata huduma hii,au unapata taarifa toka vijiweni?
Kama hujawahi kwenda,nenda kahakiki hizi claims zako,uwe na facts mkononi
Kwahiyo corona ipo mpya au ile ile?Ushahidi gani unaoutaka zaidi ya wa daktari aliyeamua kusema hadharani ili kututahadharisha Watanzania? Soma kwa kituo ushahidi upo hapo juu.
NmekuelewaMganga mkuu hakasema kuwa covid ipo, ila anatatua kero iliopo kwa wanaosafiri, huwez kupita border km huna negative certificate ya covid, mfano hapo namanga tuu wanasumbua balaa km huna wanakurudisha ulipotoka, na watakuruhusu km ulipima ndani ya masaa 96(siku nne) imagine unapima leo hafu majibu yanatoka baada ya siku tatu, chukulia upo dar unaenda Nairobi kwa basi maana yake ukishafika border cheti chako kitakuwa kishapita muda wake kuwa valid
Hii nchi hata kuihurumia naona aibu ! Si wanasema corona hakuna , wanapima nini sasa ?By clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Sijazungumzia u negative au positive bali sheria za zinataka watu wapimwe ndo wapate vibali kwenda nje so kusema Kuwa hakuna ugonjwa haimaanishi watu wasipimwe.. hayo ya negative au positive wanajua wao.Kwahiyo wote wanaopimwa ni negative?
Nachozungumzia ni ili mtu aruhusiwe inahitaji apimwe hizo kauli za kusema hakuna bila kipimo ni Kama siasa tu.. so kupima lazima wapimeKwenda nje na ugonjwa kuwepo Nchini na Serikali hii iliyopora uchaguzi kuendelea kusema uongo kwamba Tanzania tumenusurika hakuna ugonjwa vinahusiana vipi? 😳