Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

Kwanini wasitumbie ukweli wananchi.Waziri wa afya vipi wewe?
 
Sasa kama wanapima na kugundua ugonjwa upo Nchini kwanini waendelee kusema uongo kwamba Tanzania hakuna COVID19? Siasa kwenye maisha ya raia wanaokufa kwa ugonjwa!? 😳
Nachozungumzia ni ili mtu aruhusiwe inahitaji apimwe hizo kauli za kusema hakuna bila kipimo ni Kama siasa tu.. so kupima lazima wapime
 
Sawa inawezekana story zikawa za vijiweni maana hatufahamiani .. Ikatokea umepimwa na ukakutwa uko positive certificate yako itakuwa certified kwa positive nini impact yake kwanza kwa serikali ambayo imesema hakuna ugonjwa.
Kuwa na claims kwamba lazima majibu yatoke negative,wewe binafsi unatoa wapi taarifa,mimi nimepimwa peke yangu majibu nikapata peke yangu ndani ya saa 24 yakawa yametoka ,majibu ya watu wengine siyajui,huenda wanapata positive pia
Anyway tuko nje ya dhumuni la mleta mada.
 
Hii nchi hata kuihurumia naona aibu ! Si wanasema corona hakuna , wanapima nini sasa ?
Huwezi kuvuka mipaka yetu bila kupimwa corona,maana huko uendako hutapokelewa,hata taratibu za kuomba kibali cha kusafiri KWA mtumishi huwezi pata kibali bila kuweka Covid-19 screening certificate,kuna mazingira yanakulazimu kupimwa hata usipotaka
 
INALENGA WASAFIRI, CORONA HAIPO, LAKINI MASHIRIKA YA NDEGE YANALAZIMISHA KUPIMA.
HONGERA SERIKALI KUONDOA UCHELEWESHAJI KWA WASAFIRI
We jamaa umejibu Kama muelewa Kuna watu wanakurupuka kujibu wakiwa na lengo la kukosoa.
 
Acha ushamba, ukisafiri nje ya Tz wanahitaji PCR test, ujinga wenu unaonyesha jinsi mlivyojaa chuki na watupu kichwani.
Hii nchi raia wanaofanya reasoning wamebaki wachachee wengi wamejaaa grudges against JPM they don't want to hear anything rather than his downfall na Hawa ndo watu wanaojiita wanapenda Tanzania.
Sisi tumekuelewa mkuu.
 
Mganga mkuu hakasema kuwa covid ipo, ila anatatua kero iliopo kwa wanaosafiri, huwez kupita border km huna negative certificate ya covid, mfano hapo namanga tuu wanasumbua balaa km huna wanakurudisha ulipotoka, na watakuruhusu km ulipima ndani ya masaa 96(siku nne) imagine unapima leo hafu majibu yanatoka baada ya siku tatu, chukulia upo dar unaenda Nairobi kwa basi maana yake ukishafika border cheti chako kitakuwa kishapita muda wake kuwa valid
Huu ndio ufafanuzi sahihi, naona watu wengi wameelewa tofauti...
Asante kwa ufafanuzi mzuri
Tanzania Corona haipo..
 
Mbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Siyo kwa hili aisee...! Yaani hujui kuwa Siku hizi tunapokea watalii, hata kuna na baadhi ya watanzania wanasafiri kwenda na kurudi kutoka nchi zilizoathirika!?
 
Huwezi kuvuka mipaka yetu bila kupimwa corona,maana huko uendako hutapokelewa,hata taratibu za kuomba kibali cha kusafiri KWA mtumishi huwezi pata kibali bila kuweka Covid-19 screening certificate,kuna mazingira yanakulazimu kupimwa hata usipotaka
Nani anaamini kama watanzania wanapima kweli huku Rais wao alisema hakuna corona ?
 
Mbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Mkuu uelewa wako ni zero, kwa sasa ni kama sheria zisizo rasmi kuwa unaposafiri kwenda nchi za nje ni lazima kupimwa virusi uwe navyo au usiwe navyo lazima upimwe na mashirika ya ndege na baadhi ya nchi haziruhusu mtu kutoka nje ya nchi kuingia nchini mwao bila kufanyiwa vipimo,ni kama kadi ya ugonjwa wa manjano unayotakiwa kuwa nayo baada ya chanjo,haijalishi una ugonjwa au la, siasa zako peleka Ufipa
 
Back
Top Bottom