Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Mimi nina akiliWewe ndio huyo mganga?
Mimi nina akiliWewe ndio huyo mganga?
Hongera mkuuMimi nina akili
Hata chanjo ya Covid-19 ikianza watachanjwa tu ndani ya Masaa 24.By clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Wewe chizi kweli, kwahiyo watu wakienda kupima ina maana wana korona? Nini unadhani kinafichwa hapo, yaani vijana wa ufipa ni manyumbu kweli na ndio maana akili zenu wahuni wanapokezana tu. Aliwapokea Lissu na sasa kawakabidhi kwa Amsterdam nyumbu nyie.Mbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Huyu mganga mkuu anatafuta kutumbuliwa tu nani kamwambia kuna Corona Tanzania? Shauri yakeBy clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Korona haipo bongo hapo naungana na wewe ila hiyo LISSU alimtukana matusi gani JPM?Hawajasema Corona haipo bali the prevalence is negligible. Na kwa nini mnashabikia kuwepo kwa Corona.Tundu alizunguka nchi nzima akimtukana JPM na hakuvaa barakoa wala kufata standard za WHO mbona hajafaa? MAREKANI wameendesha uchaguzi na Corona ikiwepo.mbona hawajateketea? Acheni uoga. Corona ni mafua makali kama magonjwa mengine.
Mkuu mpaka useme kuwa una emergency na uwe na ticket kabisaMbona wanatoa ndani ya 24 hrs mimi nimepata hiyo huduma hivi karibuni
Kuna fomu unajaza,na nchi unayokwenda,inawezekana wasiosafiri majibu yanachelewa,sina uhakika na hilo mkuu ,japo nimeona Tanzania ni kama Exit country,raia wengi wa Rwanda, Burundi,congo hata kenya naona wanapima na kuanzia safari hapa kwetu,possiblly hatuna complications kwenye ishu ya vipimo tofaut na nchi zaoMkuu mpaka useme kuwa una emergency na uwe na ticket kabisa
Pana mtu kaamua kupunguza idadi ya watoto wake Ili kupunguza matumiziCorona ipo sema tumeamua kupotezea tu
Kwa maana nyingine hapa Mganga Mkuu anakubali kuwa CORONA ipo Tanzania na kwamba yule Mtanzania Mmoja ametudanganya na tutakufa.By clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Kuna kuipotezea na kuitukuza,Tanzania mwanzoni tuliitukuza ila baadaye tukaamua kuipotezea ila majirani zetu bado wanaitukuza na ndio maana mtu anaweza kuona kama hapo Kenya wana hali mbaya kwamba si salama ila Tanzania ndio salama,ila kumbe tofauti zetu ni mmoja kuacha kuipotezea na mwengine anaitukuza ila maisha kiuhalisia hali zetu kwa pamoja hazina tofauti.Corona ipo sema tumeamua kupotezea tu
Haipo ila mabeberu hawatuamini.
Kuna haja gani ya kupima wakati Hakuna ugonjwa hapa nchini? Halafu wawaambie tu mabeberu kwamba sisi ni taifa huru.By clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa ma
Sijazungumzia u negative au positive bali sheria za zinataka watu wapimwe ndo wapate vibali kwenda nje so kusema Kuwa hakuna ugonjwa haimaanishi watu wasipimwe.. hayo ya negative au positive wanajua wao.
jibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Mkuu hivi zimo kweli wewe..?Kuna haja gani ya kupima wakati Hakuna ugonjwa hapa nchini? Halafu wawaambie tu mabeberu kwamba sisi ni taifa huru.
Nilichokimaanisha nikuwa tumeambia hakuna corona alaf itaokea vyeti vina positive sasa aliyetangaza hakuna ugonjwa tunamuweka katika hali gani mbele ya jamii ya kimataifaNi kweli kuwa hujui impact ya kupata majibu positive‼️‼️‼️⁉️⁉️⁉️😲
Hii nchi hata kuihurumia naona aibu ! Si wanasema corona hakuna , wanapima nini sasa ?
Sasa kama wanapima na kugundua ugonjwa upo Nchini kwanini waendelee kusema uongo kwamba Tanzania hakuna COVID19? Siasa kwenye maisha ya raia wanaokufa kwa ugonjwa!? 😳
Sidhani kama watakuruhusu kupima bila passport, mimi nimepima kama mara mbili wakati niko huko, pia niliwahi pima Uganda na South Sudan, kwa South Sudan unapata majibu kesho yake na pia waweza download bila kufika hapo ulipopimia.Kuna fomu unajaza,na nchi unayokwenda,inawezekana wasiosafiri majibu yanachelewa,sina uhakika na hilo mkuu ,japo nimeona Tanzania ni kama Exit country,raia wengi wa Rwanda, Burundi,congo hata kenya naona wanapima na kuanzia safari hapa kwetu,possiblly hatuna complications kwenye ishu ya vipimo tofaut na nchi zao