Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Na hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!
Hi nchi ilichezewa segele kwa muda mrefu, Sasa Kuna mlume anayejitambua, wajashika adabu yao!
 
Huwa nawaambia muache kujidangaya umuhimu wa Tanzania kwa Kenya. Route yenye pesa mingi kwa KQ in eac ni NBI-Mombasa, na NBI-entebbe. Hiyo ya dar imekuwa pocket change. Uganda ikifunga hapo ndiyo Kenya itauumia na GOK inajua hivyo ndiyo kwa sababu huwa haiogopi kuwekea Tanzania vikwazo kila wakati kutoka 1960's.
 
Kwani Ni vibaya nchi kuipiga ban Tanzania?

Mbona Kuna nchi kibao zimeipiga ban Tanzania kwenye travel advisory zao na hamjathubutu kuzizuia na zenyewe pamoja na raia wao.

Tatizo hii nchi vichaa Kama wewe Ni wengi ndio maana mnafurahia violence

Mkuu usiwe mjinga.

Jiulize suali kwanini Kenya mwanzoni (jana) ilitoa orodha ya nchi 11 Tanzania ikiwemo ambazo ndege zake zilikuwa zinaruhusiwa kutua Kenya.

Halafu pia jiulize suali jingine jipya je, ni kwanini leo Kenya wanakuja na orodha ingine ambayo imeiondoa Tanzania ghafla kutoka kwenye orodha ya awali ya nchi zile 11?

Usishabikie tu kila ujinga.
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho. Haya tusubiri tuone nini mwisho wa hili sakata between us.
 
Wewe hukuwa makini pia naona.... Maana ukisoma hapo utaona " This also rescinds ALL previous arrangements..."
 
Kwani Kuna ubaya gani Kama zilitokea problem za Hilo Tangazo who knows?

Issue ni kwamba tanzania haijiamini
 
Ulitaka tukawapigie magoti? Mkiyataka hayo undeni linchi lenu lakini tz itabaki na heshima yake kama nchi siyo kumsujudia mtu
 

Na kwa kumsaidia zaidi
Mkurungenzi mkuu wa TCAA ni mwanasheria msomi mbobezi katika sheria za usafiri wa anga
 
Ushageuza hii ni Watanzania vs Wakenya

Mimi ni Mtanzania,na sipo hapa kutetea jawabu la kipumbavu mamlaka lililotoa, ni jawabu la hovyo economically.

Eti kwavile mimi Mtanzania unataka nikubali tu upumbavu hawa viongozi wanaufanya eti kwavile mimi ni raia wa Tanzania?

Thats not me mzee....huwezi niweka kwenye box na kunipangia cha kushabikia japo ni mavi
 
Urafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka.

Baadaye utasikia Uhuru kampigia simu Magufuli, pamoja na kumpa Pole wakatoa Maelekezo kwa wasaidizi wao waondoe Zuio la Ndege!
Safari hii hatupokei simu za nyang'au na mtafute sehemu ya kukimbilia mkitibuana kisiasa huko kwenu.
 
Tanzania haimo kwenye orodha ya jana ya nchi 11. Usipotoshe ukweli.
 
Hongera sana mzee kenyatta! wazeee wa korona hoiii!πŸ˜‚ waendelee kujifukiziaa tu ndani ya ATCL, full maombezi humoo. Koronaa kiboko ya mswahili..πŸ˜‚
 
Wewe umeumia sana na kama ndio mshauri wa Kenyata kwamwambia nchi hii haiongozwi na JK bali Magufuli
 
Hii imekuja baada ya serikali ya kenya kutoioredhesha Tanzania kua miongoni mwa nchi zitakazoruhusiwa kutua nchini mwao.

Uhusiano wa nchi hizi mbili kwa sasa unatia shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…