Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Hi nchi ilichezewa segele kwa muda mrefu, Sasa Kuna mlume anayejitambua, wajashika adabu yao!Na hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi nchi ilichezewa segele kwa muda mrefu, Sasa Kuna mlume anayejitambua, wajashika adabu yao!Na hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!
Huwa nawaambia muache kujidangaya umuhimu wa Tanzania kwa Kenya. Route yenye pesa mingi kwa KQ in eac ni NBI-Mombasa, na NBI-entebbe. Hiyo ya dar imekuwa pocket change. Uganda ikifunga hapo ndiyo Kenya itauumia na GOK inajua hivyo ndiyo kwa sababu huwa haiogopi kuwekea Tanzania vikwazo kila wakati kutoka 1960's.si
Sijui kama unaelewa KQ ina abiria wengi sana Zanzibar hilo ni pigo kuu tena linaumiza kwa Kenya kuliko Tz kwa sababu Tz haina safari za NBI. Unajua KQ inategemea sana flight za nje sababu kenya haina viwanja vingi kwa ajili ya domestic flights kama Air Tanzania. Hii ni dalili ya kuvunjika tena EAC. TZ iimarishe jumuiya ya SADC Mwalimu aliiona hii hali na pia tukubali COMORO kujiunga na sisi jamhuri ya muungano wa Tanganyika, Zanzibar na Comoro yaani jamhuri ya TANZACOM
Kwani Ni vibaya nchi kuipiga ban Tanzania?
Mbona Kuna nchi kibao zimeipiga ban Tanzania kwenye travel advisory zao na hamjathubutu kuzizuia na zenyewe pamoja na raia wao.
Tatizo hii nchi vichaa Kama wewe Ni wengi ndio maana mnafurahia violence
Good! Ila kuna watu kuelewa hili wanahitaji wakiliHivi kama jirani ameamua kukata watoto wako wasiende kwake, wewe utalazimisha? Lazima utazuia na watoto wake wasije kwako, sasa nani kati ya aliyeanza na aliyejibu mapigo mwenye matatizo?
Wewe hukuwa makini pia naona.... Maana ukisoma hapo utaona " This also rescinds ALL previous arrangements..."... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Kwani Kuna ubaya gani Kama zilitokea problem za Hilo Tangazo who knows?Jiulize suali kwanini Kenya mwanzoni ilitoa orodha ya nchi 11 tanzania ikiwemo ambazo ndege zake zilikuwa zinaruhusiwa kutua Kenya.
Halafu pia jiulize suali jingine jipya je , ni kwanini leo Kenya wanakuja na orodha ingine ambayo imeiondoa tanzania ghafla kutoka kwenye orodha ya awali ya nchi zile 11?
Ulitaka tukawapigie magoti? Mkiyataka hayo undeni linchi lenu lakini tz itabaki na heshima yake kama nchi siyo kumsujudia mtuHuo Ni upumbavu Hakuna justification yoyote kwanini tanzania imestopisha kq kuja bongo.
Tunaona ulaya nchi inaipiga ban nchi nyingine ila hatuoni huu upuuzi wa kukomoana. Huu ujinga uko bongo tu.
Na kwasababu nchi imejaa viongozi wa hovyo raia mizigo sampuli yako mnaishia kukenua. Ipo siku mtaambiwa mtatuliwe tigo zenu utainama hapo mtaani kwenu.
Kwasababu hakuna makubaliano ya KQ kutoka Mombasa au kisumu kutua Tanzania.
So wakitaka hyo route lazima KQ waombe Tanzania which is the same...WATAKALIWA.
Trust me hao watu wanaakili na wanajua sheria za aviations (wako makini mno na sio kama unavodhani)
Kama mwaka 1977; Kuungana na 'manyang'au' wa kibera ilikuwa ni kupoteza muda na rasilimali pesa. Good move Magu. Bado Rwanda;
Ushageuza hii ni Watanzania vs WakenyaKwani na Kenya si mmejaza makorona pia? Sasa kwanini iwe nongwa TZ wakizuia Kenya kuingia TZ?
Mna nini nyie ambacho mabeberu hawana ata ikawa wao wanakuja Tanzania na kuruhusu anaetoka TZ kuingia nchini mwao?
Eti kuna namna nzuri ya ku address what Kenya did, Unafiki tu ndio namna pekee ya ku address what Kenya did.
Hapa kwetu Zanzibar tayari tumeanza kupokea watalii na wana enjoy, Ivi saiv ni kipindi cha kite surfing, wapo wanachana waves, uku Kunyas mkiendekeza upumbavu.
Unajua mimi hadi sasa sijapata jibu, kwanini Serikali yenu imeweeka Curfew? Yaani mchana hupati Corona kweli?
Kwani Kuna ubaya gani Kama zilitokea problem za Hilo Tangazo who knows?
Issue ni kwamba Tanzania haijiamini
Safari hii hatupokei simu za nyang'au na mtafute sehemu ya kukimbilia mkitibuana kisiasa huko kwenu.Urafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka.
Baadaye utasikia Uhuru kampigia simu Magufuli, pamoja na kumpa Pole wakatoa Maelekezo kwa wasaidizi wao waondoe Zuio la Ndege!
Tanzania haimo kwenye orodha ya jana ya nchi 11. Usipotoshe ukweli.Mkuu Kenya jana ilitoa orodha ya nchi 11 na ikasema Tanzania imo kwenye nchi ambazo ndege zake zaruhusiwa kutua Kenya.
Leo wakaja na orodha ingine kwamba inayoonyesha Tanzania haimo kwenye orodha.
Sasa wapo wapumabvu hapa ambao hawakuona ile orodha ya awali na wala hawafahamu kwamba ilikuwepo na kwamba Kenye wanacheza game.
Wewe umeumia sana na kama ndio mshauri wa Kenyata kwamwambia nchi hii haiongozwi na JK bali MagufuliNdio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa,is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.
Tanzania haimo kwenye orodha ya jana ya nchi 11. Usipotoshe ukweli.