Mkuu Kenya jana ilitoa orodha ya nchi 11 na ikasema Tanzania imo kwenye nchi ambazo ndege zake zaruhusiwa kutua Kenya.
Leo wakaja na orodha ingine kwamba inayoonyesha Tanzania haimo kwenye orodha.
Sasa wapo wapumabvu hapa ambao hawakuona ile orodha ya awali na wala hawafahamu kwamba ilikuwepo na kwamba Kenya wanacheza game.
Hivi unajua kwamba Wakenya wengi wapo TzHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
Uganda exports more to Kenya than Tanzania about 5 times more than Tanzania. Nyinyi mukijidanganya na machungwa, nyanya na vitunguu, Uganda wana safirisha finished products kukuja Kenya.Kwasababu Uganda ni Landlocked country.
Huu ni upuuzi mkubwa sana,
Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa sababu za wao kukataa ndege zetu kutua kwao-Hatua tunazochukua dhidi ya COVID 19 ambazo binafsi hata mimi naziona zina kasoro nyingi,haziko organised,hatutoi status updates na mbaya zaidi tunataka kila nchi ifanye hivo
Sijaona sababu ya TCAA kufanya hivyo katika msingi wa Reciprocal kwa sababu inaonesha kwamba uwezo wet wa kufikiri ni mdogo sana.
Maoni yangu ni kwamba kama taifa lazima tuweke mipango madhubuti ya kuzuia usambaaji wa COVID na kuweka takwimu sahihi kuhusu hali ya ugonjwa huo.
Mhandisi hii kitu inabidi tufanye kikao cha dharura nipe coordinate 🥂🍾
Hivi unajua watanzania wengi wako Kenya? Tofauti ni moja, Mukifukuza wakenya mutakuwa munafukuza professionals na wanabiashara wanao nunua hizo vitungu na nyanya zenyu(Watu wanaojenga uchumi na walio na umuhimu kwa nchi). Kenya ikifukuza watanzania itafukuza makahaba, omba omba wa barabarani, na watu wa kubeba mizigo hapo gikomba (Kazi zisizo muhimu kwa Taifa).Hivi unajua kwamba Wakenya wengi wapo Tz
Karibia nchi zote za Africa zinatangaza, mbona pia wamezifungia?, tumia akili kidogoYanini kumlaumu mkwezi wakati nazi imeliwa na mwezi?!
Kuna watu walishatabiri Haya yote ya kufungiwa na nchi mbalimbali pale mipaka itakapofunguliwa baada ya kupata ahueni ya ugonjwa wa Corona.
Athari za kutotangaza takwimu juu ya ugonjwa wa Corona ndiyo hizi!
Imeonekana kutotangaza kana kwamba imechukuliwa nchi imekuwa na high risk profile!
Sasa ingekuwa vyema mjadala na hoja ikaanzia hapo badala ya kumhukumu mkwezi.
Nazani kama sijakosea Lema alisema kuhusu athari ya kutotangaza takwimu za ugonjwa wa Corona.
Nabii Lema yametimia kuhusu hili la Corona
Kwa hiyo hao wakenya wanapofanya maamuzi ya kutufungia huwa hawana mshauri? Yaani sisi tufungiwe alafu tutafute mshauri sisi? Akili za matope kabisa.
Yaani mimi nichukue mkeo alafu wewe badala ya kukasirika utafute mtu wa kunibembeleza?
Mnachanganyikiwa na nini jamani?
Umesahau,huwa anazima na simu.Na ndicho wanachokifanya Nia kutuchafua, sasa wamekutana na chenga mwenzao wakimwanga ugali anamwaga mboga halafu anatulia kimya. Safari hii hatutaki mapambio ya undugu, kwanza bado tupo msibani
Moshi unazidi kuvuka
Hata kama hawapo busy ulitaka washughulike na jambo la hovyo kiasi hiki?, ni juzi tu Kanya iliamua kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kanya. hatua ambayo ilisababisha mtafaruku mkubwa Sana, hadi marais wakaingilia kati, ina maana Kanya haijajifunza jinsi ya kumshirikisha Tanzania kabla ya kuchukua maamuzi yenye kuathiri mahusiano ya kidiplomasi Kati ya hizi nchi mbili?Nadhani haya sio mambo ya kufurahia, mawaziri wa wizara hii ya mambo ya nje wako busy kusaka ubunge, Kabudi kilosa na Ndumbalo Songea huko. Awamu hii ni shida kweli
Mbona South Africa na Nigeria hazijafanya hivyo?
Kwa hiyo mtatumia bidhaa za viwanda vyenu vya ndani siyo?...Made in TanzaniaHuu ndio ugoro mkuu wa uzi huu,hongera mkuu