Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Mkuu Kenya jana ilitoa orodha ya nchi 11 na ikasema Tanzania imo kwenye nchi ambazo ndege zake zaruhusiwa kutua Kenya.

Leo wakaja na orodha ingine kwamba inayoonyesha Tanzania haimo kwenye orodha.

Sasa wapo wapumabvu hapa ambao hawakuona ile orodha ya awali na wala hawafahamu kwamba ilikuwepo na kwamba Kenya wanacheza game.

Walipata shinikizo kutoka kwa uncle, si unafahamu akili zao wameshikiliwa. Nilisikia yule kiongozi wao akisema anapeleka maabara dawa ya Covid-19 kutoka Tanzania, hajaibuka tena kuweka mrejesho.
 
Nadhani haya sio mambo ya kufurahia, mawaziri wa wizara hii ya mambo ya nje wako busy kusaka ubunge, Kabudi kilosa na Ndumbalo Songea huko. Awamu hii ni shida kweli
 
Ni vema tukaangalia tulipojikwaa kwanza kabla ya kuangalia tulipoangukia !

Tujiulize tumefikaje hapa?

Mbona Nchi nyingine wanachama wa jumuia jirani kama Uganda hazijapigwa ban?

Sababu ni nini?

Je nini kifanyike kwa busara?
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
Hivi unajua kwamba Wakenya wengi wapo Tz
 
Kwasababu Uganda ni Landlocked country.
Uganda exports more to Kenya than Tanzania about 5 times more than Tanzania. Nyinyi mukijidanganya na machungwa, nyanya na vitunguu, Uganda wana safirisha finished products kukuja Kenya.
 
Huu ni upuuzi mkubwa sana,
Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa sababu za wao kukataa ndege zetu kutua kwao-Hatua tunazochukua dhidi ya COVID 19 ambazo binafsi hata mimi naziona zina kasoro nyingi,haziko organised,hatutoi status updates na mbaya zaidi tunataka kila nchi ifanye hivo

Sijaona sababu ya TCAA kufanya hivyo katika msingi wa Reciprocal kwa sababu inaonesha kwamba uwezo wet wa kufikiri ni mdogo sana.

Maoni yangu ni kwamba kama taifa lazima tuweke mipango madhubuti ya kuzuia usambaaji wa COVID na kuweka takwimu sahihi kuhusu hali ya ugonjwa huo.

China walioruhusiwa kuingia Kenya kuanzia leo si ndio wanaolalamikiwa na dunia kwa kuficha takwimu na kuchochea maambukizi dunia nzima?
Kama Kenya wao wameona sisi kwenda kwao sio salama, huoni tumewasaidia sana kupiga marufuku ndege zao kuja kwetu?
Wewe unashauri mipango madhubuti ya kuzuia usambaaji wa COVID?
Na Je mipango madhubuti ya Kenya kuzuia COVID tangu walipolock down imepunguza maambukizi kwa kiasi gani?
 
Hivi vijaluo vilishawahi kuzuia magari yetu ya kubeba watalii kufanya kufanya kazi kwao ila vyenyewe vinataka viingie KIA kama kwao Mzee wa mjini JK ali deal nao papendicular wakaomba poo sasa uyu mwamba wa chato ndio hapendagi kabisa kuzinguliwa kila wakimjaribu tu anachukua hatua within 24hrs sijui kwanini serikali ya Kenya inakosa trend readers
 
Mhandisi hii kitu inabidi tufanye kikao cha dharura nipe coordinate 🥂🍾

Kwanza mhandisi.......kuna njia kuu ya umeme inaingilia Namanga kwenda kule......nataka niifunge ili tusuluhishe hili kwa sasa......🤣🤣
 
Hivi unajua kwamba Wakenya wengi wapo Tz
Hivi unajua watanzania wengi wako Kenya? Tofauti ni moja, Mukifukuza wakenya mutakuwa munafukuza professionals na wanabiashara wanao nunua hizo vitungu na nyanya zenyu(Watu wanaojenga uchumi na walio na umuhimu kwa nchi). Kenya ikifukuza watanzania itafukuza makahaba, omba omba wa barabarani, na watu wa kubeba mizigo hapo gikomba (Kazi zisizo muhimu kwa Taifa).
 
Yanini kumlaumu mkwezi wakati nazi imeliwa na mwezi?!

Kuna watu walishatabiri Haya yote ya kufungiwa na nchi mbalimbali pale mipaka itakapofunguliwa baada ya kupata ahueni ya ugonjwa wa Corona.

Athari za kutotangaza takwimu juu ya ugonjwa wa Corona ndiyo hizi!

Imeonekana kutotangaza kana kwamba imechukuliwa nchi imekuwa na high risk profile!

Sasa ingekuwa vyema mjadala na hoja ikaanzia hapo badala ya kumhukumu mkwezi.

Nazani kama sijakosea Lema alisema kuhusu athari ya kutotangaza takwimu za ugonjwa wa Corona.

Nabii Lema yametimia kuhusu hili la Corona
Karibia nchi zote za Africa zinatangaza, mbona pia wamezifungia?, tumia akili kidogo
 
TUJIKUMBUSHE KIDOGO KUHUSHU KUVUNJIKA KWA EAC ya enzi ZA Nyerere

In 1977, the EAC collapsed. The causes of the collapse included
1. Demands by Kenya for more seats than Uganda and Tanzania in decision-making organs
2. Ddisagreements with Ugandan dictator Idi Amin who demanded that Tanzania as a member state of the EAC should not harbour forces fighting to topple the government of another member state, and
3. The disparate economic systems of socialism in Tanzania and capitalism in Kenya.

The three member states lost over sixty years of co-operation and the benefits of economies of scale, although some Kenyan government officials celebrated the collapse with champagne.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani alieanza ni nani mzee???? Umesahau kuna wajumbe wa kumzika mkapa wamerudia anganii na ndegee yaooo...???
Kwa hiyo hao wakenya wanapofanya maamuzi ya kutufungia huwa hawana mshauri? Yaani sisi tufungiwe alafu tutafute mshauri sisi? Akili za matope kabisa.

Yaani mimi nichukue mkeo alafu wewe badala ya kukasirika utafute mtu wa kunibembeleza?
Mnachanganyikiwa na nini jamani?
 
Na ndicho wanachokifanya Nia kutuchafua, sasa wamekutana na chenga mwenzao wakimwanga ugali anamwaga mboga halafu anatulia kimya. Safari hii hatutaki mapambio ya undugu, kwanza bado tupo msibani
Umesahau,huwa anazima na simu.
 
Sawa wamemwaga mboga sisi tumemwaga ugali lakini tusisahau kuzima na moto maana watapika tena.
 
Nadhani haya sio mambo ya kufurahia, mawaziri wa wizara hii ya mambo ya nje wako busy kusaka ubunge, Kabudi kilosa na Ndumbalo Songea huko. Awamu hii ni shida kweli
Hata kama hawapo busy ulitaka washughulike na jambo la hovyo kiasi hiki?, ni juzi tu Kanya iliamua kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kanya. hatua ambayo ilisababisha mtafaruku mkubwa Sana, hadi marais wakaingilia kati, ina maana Kanya haijajifunza jinsi ya kumshirikisha Tanzania kabla ya kuchukua maamuzi yenye kuathiri mahusiano ya kidiplomasi Kati ya hizi nchi mbili?
 
Kenya acheni ubishi awamu ya 5 hapa tz haichezewi mtapigwa Kama watoto wadogo muaibike.

HAPA KAZI TU.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom