Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Mkuu Kenya jana ilitoa orodha ya nchi 11 na ikasema Tanzania imo kwenye nchi ambazo ndege zake zaruhusiwa kutua Kenya.
Leo wakaja na orodha ingine kwamba inayoonyesha Tanzania haimo kwenye orodha.
Sasa wapo wapumabvu hapa ambao hawakuona ile orodha ya awali na wala hawafahamu kwamba ilikuwepo na kwamba Kenya wanacheza game.
Walipata shinikizo kutoka kwa uncle, si unafahamu akili zao wameshikiliwa. Nilisikia yule kiongozi wao akisema anapeleka maabara dawa ya Covid-19 kutoka Tanzania, hajaibuka tena kuweka mrejesho.