Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?

Kenya na TZ ni special business partners. Muingiliano wa kila siku wa Wakenya na Watanzania ni mkubwa sana. Haikua busara kuiweka kundi moja na nchi za mbali huko kama US, Afrika ya Kusini au hata DR Congo. Ilikuwa muhimu kujadiliana, tena kwa heshima.
 
Hatua muhimu walianza wao hii ipo popote duniani.
 


Nani anaweza kuthibitisha hayo kwamba ni sababu ya fedha walizokula za mabeberu?!

Vinginevyo itachukuliwa kama propaganda tu!
 
Sasa ulitakaje?, ulitaka Kanya wafunge anga lao kwa Tanzania, lakini Tanzania ifungue anga Lake kwa Kenya?
 
Ebuu acha Utopoloo bhasi mkuuu unatumiaa mafiii kufikirii au???? Yano ndege yenye itilafu ishindwe kutua Tz isafirii mpka kenya alafi ikatie salamaa????? Unatumia ugorooo au..
Kaka achana na udaku hapa tunajadiliana mamba ya msingi, ikiwa nchi zote mbili zinasema sababu ya ujumbe wa Kanya kushindwa kuingia Tanzania ni kutokana na matatizo ya kitaalamu, wewe unapata wapi haya unayoyasema?
 
Wakenya wengi wanaotokea Tanzania kurudi kenya wanapatikana na covid19 kwenye border.
 
Hatutaki ujirani wa kinafiki fullstop.
 
Hayo mimi sijasemaaa... Ninachosema diplomasi yetu inapaswa kurekebishwaa na uhusiano wetu urejee kama kawaidaa sio mambo ya Kuvimbiana nani ni better zaidi!! Sababu hakuna anaeweza kujishusha ndo haya yanatokea hata majirani hawawezi suluhishaa huu ugomvi wanaangalia tuu acha tuone.
Sasa ulitakaje?, ulitaka Kanya wafunge anga lao kwa Tanzania, lakini Tanzania ifungue anga Lake kwa Kenya?
 
Covid jamani imeleta utengano. Huu umoja wa nyakati za furaha tu haufai
Sasa tunajua kwenye shida naona kila nchi kivyake. Igeni basi Umoja wa Ulaya.
Tatizo siyo civid19, tatizo ni upungufu wa busara. Tunajua wote tuna matatizo, halafu mmoja anajifanya kiranja wa mwingine. Kila mmoja abaki na shida zake.
 
Cha kusikitisha nyinyi msio wapumbavu na mizigo there is nothing you can do. Absolutely nothing you can do about this situation and more to come.
 
Nani anaweza kuthibitisha hayo kwamba ni sababu ya fedha walizokula za mabeberu?!

Vinginevyo itachukuliwa kama propaganda tu!
Huo ndio ukwelii Umekula pesa za Covid Kenyaa wacha ufate kile unachoambiwa na waliokupa pesaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nchi zingine wameacha huo utopolo wa takwimu siku nyingi tuu ila sasa ndugu zetu kazi wanayoo
 
Wakenya wengi wanaotokea Tanzania kurudi kenya wanapatikana na covid19 kwenye border.
Nyie watu inabidi mbadilike, ‘wakenya wengi wanaorudi wanakutwa na COVID mpakani’ I take that statement is based on statistical evidence.

Unaweza kutupa the exact figure? vinginevyo hiyo statement ni kitu ambacho umetoa kichwani kwako.
 
Kenya ilipaswa kuwasiliana na Tanzania kueleza hayo kabla ya kuchukua maamuzi makubwa ambayo yatamgusa na kumuathiri Jirani yako, huko ndio kuishi kwa kuthamini na kuwaheshimu majirani zako, huwezi kujiamulia kivyakovyako kama vile unaishi peke yako, tafadhali tumia akili.
 
Bado hujajua unachokiongea.
 
Kuna watu wanapenda ugomvi, sasa mnashangilia nini yaani. EAC hiyo inavunjika. Soon mabalozi watatimuana kama vile naona soon
Hata mara ya kwanza aliyevunja ni Kenya. Acha ivunjike tena. Wajinga wale. Walivizia vitu vingi viko Kenya wakasema jumuiya basi. Yule jamaa yetu akaruka na ndege fasta kurudi home. Jamaa alifikiri kwa akili kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…