Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?
Kenya na TZ ni special business partners. Muingiliano wa kila siku wa Wakenya na Watanzania ni mkubwa sana. Haikua busara kuiweka kundi moja na nchi za mbali huko kama US, Afrika ya Kusini au hata DR Congo. Ilikuwa muhimu kujadiliana, tena kwa heshima.