Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?

Kenya na TZ ni special business partners. Muingiliano wa kila siku wa Wakenya na Watanzania ni mkubwa sana. Haikua busara kuiweka kundi moja na nchi za mbali huko kama US, Afrika ya Kusini au hata DR Congo. Ilikuwa muhimu kujadiliana, tena kwa heshima.
 
Hatua muhimu walianza wao hii ipo popote duniani.
 
Wewe sababu tz haitangazi bhasi unaamini hakuna Corona???? Kenya wenyewe wangekuwa hawatangazi hiyo Corona isingekuwepo tatizo Hela za mabeberu walizokulaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Corona imeua watu 200 sijui hukp kenya lakini kuna magonjwa yaneua zaidi ya hio idada lakini hakuna anaejali hiloo sababu ya Misaada lakini Kamwe usifikiria tz hakuna Corona juzi tu kuna shangazi yangu tumemzikaa...


Nani anaweza kuthibitisha hayo kwamba ni sababu ya fedha walizokula za mabeberu?!

Vinginevyo itachukuliwa kama propaganda tu!
 
Yani wee utopolo hapo huoni tatizoo kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kojoaa kalalee maslahi ya taifaa unayajua wewe??? Unajua wageni wakiwemo watalii wangapi wanapitia Kenya Airways kuja Tz??? Au unaongeaa ili mradii tuu... Ukijua maslahi ya nchii haya yanayoendelea hayakupaswa kuwepooo kabisaaa sasa sijui unaongea mavi ganiii.... Hivi vindege vyetu tumbili wewe vinaishia songeaa tuuu[emoji23][emoji23]
Sasa ulitakaje?, ulitaka Kanya wafunge anga lao kwa Tanzania, lakini Tanzania ifungue anga Lake kwa Kenya?
 
Ebuu acha Utopoloo bhasi mkuuu unatumiaa mafiii kufikirii au???? Yano ndege yenye itilafu ishindwe kutua Tz isafirii mpka kenya alafi ikatie salamaa????? Unatumia ugorooo au..
Kaka achana na udaku hapa tunajadiliana mamba ya msingi, ikiwa nchi zote mbili zinasema sababu ya ujumbe wa Kanya kushindwa kuingia Tanzania ni kutokana na matatizo ya kitaalamu, wewe unapata wapi haya unayoyasema?
 
Kama unakubali Tanzania kuna wakenya wengi tena proffesionals na sisi atujawahi funga kazi sababu ya COVID meaning they would be at most risk.

Mpaka sasa kuna Mkenya ata mmoja tumemrudisha huko kwenye jeneza kafa kwa COVID au kuna ndugu huko umesikia wamepoteza ndugu yao kwa COVID.

Hizi kelele za Tanzania kuna ugonjwa ni wazimu tu wa viongozi wenu, hakuna evidence.
Wakenya wengi wanaotokea Tanzania kurudi kenya wanapatikana na covid19 kwenye border.
 
Hatutaki ujirani wa kinafiki fullstop.
Tanzanians are not allowed to go to Europe
Tanzanians are not allowed to go to US
US are not allowed to go to Europe
Kenya is also not allowed to go to Europe
UK citizens cant come Kenya
200+ coutries can't come to kenya
Very few countries allow Tanzanians if any
World is closed airflight wise

Lakini TZ na umama, has decide to ban KQ emotionally
Mbona KLM, emirates, BA, e.t.c are not banned since they also put same resrictions like Kenya?
 
Hayo mimi sijasemaaa... Ninachosema diplomasi yetu inapaswa kurekebishwaa na uhusiano wetu urejee kama kawaidaa sio mambo ya Kuvimbiana nani ni better zaidi!! Sababu hakuna anaeweza kujishusha ndo haya yanatokea hata majirani hawawezi suluhishaa huu ugomvi wanaangalia tuu acha tuone.
Sasa ulitakaje?, ulitaka Kanya wafunge anga lao kwa Tanzania, lakini Tanzania ifungue anga Lake kwa Kenya?
 
Covid jamani imeleta utengano. Huu umoja wa nyakati za furaha tu haufai
Sasa tunajua kwenye shida naona kila nchi kivyake. Igeni basi Umoja wa Ulaya.
Tatizo siyo civid19, tatizo ni upungufu wa busara. Tunajua wote tuna matatizo, halafu mmoja anajifanya kiranja wa mwingine. Kila mmoja abaki na shida zake.
 
Huo Ni upumbavu Hakuna justification yoyote kwanini tanzania imestopisha KQ kuja bongo.

Tunaona Ulaya nchi inaipiga ban nchi nyingine ila hatuoni huu upuuzi wa kukomoana. Huu ujinga uko Bongo tu.

Na kwasababu nchi imejaa viongozi wa hovyo raia mizigo mnaishia kukenua.
Cha kusikitisha nyinyi msio wapumbavu na mizigo there is nothing you can do. Absolutely nothing you can do about this situation and more to come.
 
Nani anaweza kuthibitisha hayo kwamba ni sababu ya fedha walizokula za mabeberu?!

Vinginevyo itachukuliwa kama propaganda tu!
Huo ndio ukwelii Umekula pesa za Covid Kenyaa wacha ufate kile unachoambiwa na waliokupa pesaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nchi zingine wameacha huo utopolo wa takwimu siku nyingi tuu ila sasa ndugu zetu kazi wanayoo
 
Wakenya wengi wanaotokea Tanzania kurudi kenya wanapatikana na covid19 kwenye border.
Nyie watu inabidi mbadilike, ‘wakenya wengi wanaorudi wanakutwa na COVID mpakani’ I take that statement is based on statistical evidence.

Unaweza kutupa the exact figure? vinginevyo hiyo statement ni kitu ambacho umetoa kichwani kwako.
 
Wewe ndiyo utumie akili kidogo!

Any rational decision must consider many factors in arriving at!

Huwezi kujua kuna mambo mengine gani waliyoyazingatia katika kufikia uamuzi wa aina hiyo.

Kutoa takwimu za Corona ni hatua moja lakini kuna zingine muhimu mfano kuchukua hatua za kupima, kuchukua tahadhari za kufanya curfews, lockdowns n.k

Kuna nchi zilikuwa zinatoa takwimu lakini zikaishia kufanya hivyo bila kupima watu wala tahadhari nyingine.
Kenya ilipaswa kuwasiliana na Tanzania kueleza hayo kabla ya kuchukua maamuzi makubwa ambayo yatamgusa na kumuathiri Jirani yako, huko ndio kuishi kwa kuthamini na kuwaheshimu majirani zako, huwezi kujiamulia kivyakovyako kama vile unaishi peke yako, tafadhali tumia akili.
 
Sawa, na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ, kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Bado hujajua unachokiongea.
 
Kuna watu wanapenda ugomvi, sasa mnashangilia nini yaani. EAC hiyo inavunjika. Soon mabalozi watatimuana kama vile naona soon
Hata mara ya kwanza aliyevunja ni Kenya. Acha ivunjike tena. Wajinga wale. Walivizia vitu vingi viko Kenya wakasema jumuiya basi. Yule jamaa yetu akaruka na ndege fasta kurudi home. Jamaa alifikiri kwa akili kali.
 
Back
Top Bottom