Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Mkuu
Nitoe siri gani mzee?
Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.
That said....Hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut...
Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of....
Tatizo hawa watawala wa mawe ni vichwa panzi,akili hamna mle!
Hayo kamuulize Mzee wako KenyattoMajitu yasiokuaga na akili solution zao ni more violence
Which is what we are seeing here!
Violence unajua outcomes zake?
Kuanzia 2015 KQ haijawahi kuja mara 2 kwa siku, ilikua inakuja mara zote na kuna mida inajaa hadi abiria wanaachwasema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya kenya na uganda ni karibu mara tatu kati ya kenya na tanzania.
Tena wasinuse bongo tenaNa raia wa Kenya wanatakiwa warudishwe makwao
MleviKenya wanaongozwa na mpumbavu
Huyo Anajipa matumaini tuKuanzia 2015 KQ haijawahi kuja mara 2 kwa siku, ilikua inakuja mara zote na kuna mida inajaa hadi abiria wanaachwa
KQ inaenda EBB katika airport moja tu lakni Tanzania ilikua inakuja katika airport 3, kwa akili ya kawaida huwezi kusema kua route ya Tanzania hailipi, fikiria tena.
Wanaokua exposed ni hao watawala/wanasiasa wanaoendesha serikali!Sasa mkuu, katika hili suala ni nani anakuwa "exposed"?
Hivi ulitegemea Tanzania ifanye nini baada ya serikali ya Kanya kuzuia watanzani kuingia Kanya?Majitu yenye akili ndogo ndio akina wewe.
Kuandika tangazo la kukataza huyu nae asije,ndio umetumia akili gani hapo?
Pumbavu ni wewe na huyo unaemshabikia mnatumia mavi kufikiri!
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.uanzia 2015 KQ haijawahi kuja mara 2 kwa siku, ilikua inakuja mara zote na kuna mida inajaa hadi abiria wanaachwa
KQ inaenda EBB katika airport moja tu lakni Tanzania ilikua inakuja katika airport 3, kwa akili ya kawaida huwezi kusema kua route ya Tanzania hailipi, fikiria tena.
Imewaumiza Sana, subiri Kesho usikie wakenya watakavyolalamika huko twitter, wengi watalaumu serikali yaoHuyo Anajipa matumaini tu
Wanaokua exposed ni hao watawala/wanasiasa wanaoendesha serikali!
Ni hao watu!
Hao hawatawala have nothing to do with innocent Tanzanians who are most lovely people on earth!
Mwambie kuwa walikuwa wawe na route 17 kwa wiki. Sasa ndio hivyo wamemwaga ugali, tumeamua kumwaga mboga.The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ
Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ