Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Ilitakiwa iandikwe hivi "Due to the persistence of the corona epidemic in Kenya where it is clear that the Kenyan government has failed to control it so the Tanzanian government has decided to use discretion not to allow any flights from Kenya that are Nairobi or Mombasa even kisumu especially for airlines that transport passengers from kenya such as KQ Jambo jet and even Precision air this implementation will involve the transportation of passengers in those airlines that plan to transport passengers to our airports especially Dar es salaam Kia & Arusha as well as Mwanza this ban officially starts tomorrow 01 -08-2020"
 
Mkuu

Nitoe siri gani mzee?

Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.

That said....Hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut...

Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of....

Tatizo hawa watawala wa mawe ni vichwa panzi,akili hamna mle!

Sasa mkuu, katika hili suala ni nani anakuwa "exposed"?
 
sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.

Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya kenya na uganda ni karibu mara tatu kati ya kenya na tanzania.
Kuanzia 2015 KQ haijawahi kuja mara 2 kwa siku, ilikua inakuja mara zote na kuna mida inajaa hadi abiria wanaachwa

KQ inaenda EBB katika airport moja tu lakni Tanzania ilikua inakuja katika airport 3, kwa akili ya kawaida huwezi kusema kua route ya Tanzania hailipi, fikiria tena.
 
Huyo Anajipa matumaini tu
 
Baada ya zuio la mambo ya anga nini kitafuata

Ova
 
Sasa mkuu, katika hili suala ni nani anakuwa "exposed"?
Wanaokua exposed ni hao watawala/wanasiasa wanaoendesha serikali!

Ni hao watu!

Hao hawatawala have nothing to do with innocent Tanzanians who are most lovely people on earth!
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.

KQ ina operate 5 flights per day,32 flights week and 128 flights per month in Dar only achana na znz and KIA kwahiyo wao wanajua watapoteza revenue kubwa compared to Entebbe and Kigali
 
uanzia 2015 KQ haijawahi kuja mara 2 kwa siku, ilikua inakuja mara zote na kuna mida inajaa hadi abiria wanaachwa

KQ inaenda EBB katika airport moja tu lakni Tanzania ilikua inakuja katika airport 3, kwa akili ya kawaida huwezi kusema kua route ya Tanzania hailipi, fikiria tena.
Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
 
Wanaokua exposed ni hao watawala/wanasiasa wanaoendesha serikali!

Ni hao watu!

Hao hawatawala have nothing to do with innocent Tanzanians who are most lovely people on earth!

I'm sorry to say this, hatua walochukua Kenya kuzuia ndege za Tanzania ni ya kihuni kwani wanakuwa watatujaribu "our patience".

Zama hii hakuna masuala ya kujaribianajaribiana ni kazi tu.

Sasa huko nyuma ya pazia tunangojea simu zimiminike kuomba radhi na mda si punde kutarekebihswa.
 
The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
Mwambie kuwa walikuwa wawe na route 17 kwa wiki. Sasa ndio hivyo wamemwaga ugali, tumeamua kumwaga mboga.
 
Jafari Haruna,

Nijinyonge for what masikini mwenzangu wewe?

Imeamuliwa na hao,mimi my money always is the same.

Nipo hapa nawachana mlivyo na akili za mchwa kwa kutoa maamuzi ambayo hata kichaa wa mirembe anafanya!

Tumieni akili zaidi sio majawabu marahisi namna hii.

Bure kabisa nyie!

Y'all make y'all seen light weight

Good riddance!
 
Back
Top Bottom