Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!

Ukiwa mpinzani unaweza ukatoa siri za nchi ili kumkomoa anaye tawala[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Hivi kama jirani ameamua kukata watoto wako wasiende kwake, wewe utalazimisha?, lazima utazuia na watoto wake wasije kwako, sasa nani kati ya aliyeanza na aliyejibu mapigo mwenye matatizo?
 
Kuanzia kesho Agosti 01 ndege zinazomilikiwa na shirika la ndege la Kenya KQ hazitaruhusiwa kutua ndani ya viwanja vya ndege vya Tanzania.
20200731_223832.jpg
 
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
 
The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in EAC ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.
 
Ukiwa mpinzani unaweza ukatoa siri za nchi ili kumkomoa anae tawala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu

Nitoe siri gani mzee?

Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.

That said, hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut.

Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of.
 
Utawala wa awamu hii kwenye diplomasia na majirani kwa kweli lazima tulie
 
Wakenya bado wanaishi kwa kukariri hawajui hii ni awamu nyingine kabisa ya kutojalibiwa. Awamu ya Jiwe ambayo haitaji kubembeleza wala kunyenyekeana kwenye maamuzi yaani Jiwe we ukimbipu ye anapiga fastaa [emoji2][emoji2]
Maamuzi ya Hapo hapo
 
Inabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).

Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.

Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,[emoji16] Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.

Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
Hii mbona tayari toka jana

TBS imepiga marufuku bidhaa zinazoingizwa nchini ambazo hazijakaguliwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom