Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Na hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!Bado, hiyo ni mwanzo tu, subiri Jumatatu kuna hatua kali zingine zitafuata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!Bado, hiyo ni mwanzo tu, subiri Jumatatu kuna hatua kali zingine zitafuata.
What's u r take?Sisi Waafrika ni masikini lakini bado tunawekeana vikwazo vya kiuchumi, **** that!
Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
What's u r take?
Hivi kama jirani ameamua kukata watoto wako wasiende kwake, wewe utalazimisha?, lazima utazuia na watoto wake wasije kwako, sasa nani kati ya aliyeanza na aliyejibu mapigo mwenye matatizo?Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in EAC ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
MkuuUkiwa mpinzani unaweza ukatoa siri za nchi ili kumkomoa anae tawala[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena trip za Dar Ilikuwa iwe mara 14 kwa week in AugustThe most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
Maamuzi ya Hapo hapoWakenya bado wanaishi kwa kukariri hawajui hii ni awamu nyingine kabisa ya kutojalibiwa. Awamu ya Jiwe ambayo haitaji kubembeleza wala kunyenyekeana kwenye maamuzi yaani Jiwe we ukimbipu ye anapiga fastaa [emoji2][emoji2]
Hii mbona tayari toka janaInabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).
Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.
Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,[emoji16] Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.
Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
Majitu yasiokuaga na akili solution zao ni more violenceKuna watu wengine Wapuuzi kweli
Lina tetea ujinga aliye anzisha nani!
Walijua Magu ni JK loh!