Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Tuzuie pia merge kutoka SA, USA, France, Italy, etc kutua hapa!Kenya Kuna COVID-19, Kitendo cha Serikali kuzuia KQ kutua Tanzania Tukipongeze, Wale tukiruhusu kuleta ndege Watatuletea Corona Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzuie pia merge kutoka SA, USA, France, Italy, etc kutua hapa!Kenya Kuna COVID-19, Kitendo cha Serikali kuzuia KQ kutua Tanzania Tukipongeze, Wale tukiruhusu kuleta ndege Watatuletea Corona Tu
Uganda wako kwenye lockdown hakuna mtu kuingia wala kutoka. Jifunze kutofautishaUnaexpect nn kwa UG wakati ata wao hawapo kwenye list ya ndge zao kuja Kenya unahis watatoa na wao maamuz gani
Kenya cha mtoto sana kwa Tanzania kwenye vita vya kiuchumi. Kenya akitaka kujua JIWE ni nani aende Canada akawaulize BARRICK kilichowapata hadi kuingia ubia.Tanzania ndiyo USA ya Africa, ubabe, ubabe.Kenya hatakiweza kina cha Jiwe
Hay makorona yapo wapi mbn mtaani hatuyaoniAgressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Hakuna Ruhusa hyo ya kutoka Mombasa au mahal tofaut na Nairobi unajua maana ya route?... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Kuendeleza kubishana na wewe ni kujishusha kiwango.Blah blah blah
Vindege vya mozambique ni mavi au nini?
Mizigo ya TZ 90% inapitia Nairobi,deal with it...Ndege za mizigo unazijua?
Na Nairobi kuna facilities ku-process mizigo,sio mozambique uwanja mavi zaidi ya KIA...
Ukisikia Nairobi Airport ni regional hub uelewe hilo,nobody is joking here!
Mtalii akitoka Ulaya,ni lazima apite Nairobi ndio aje TZ,shortest.....
Ukimzungusha J'burg basi huyo mzungu atabaki SA haruki huku mavini maana SA kuna mbuga inazizunguka za TZ mara 20....
We are playing with fire here...
Hawa viazi waje na majibu sahihi na kuhakikisha we win this na sio hizi shortcuts za mavichaa walizochukua
Wewe nadhani huna kitu umeelewa kwenye hii mada. Unakurupuka tu.Brother wewe ndio insane sana yaani!
KQ ni ndege,na JKIA ni kitu kingine.....KQ ni nearly dead....forget about it..
Nazungumzia JKIA ndio hub ya EA na ndio ndege zote duniani zinatua pale then ndio J'burg
Wewe umepeleka matako kuzungumzia KQ which shows how stupid you are.
Tumenyimwa access ya JKIA,thats the issue wewe kiazi
Sasa hivi kuna ndege zinazoingia Tanzania moja kwa moja, si lazima ndege kupitia nairobi,kuna routs za moja kwa mojaBlah blah blah
Vindege vya mozambique ni mavi au nini?
Mizigo ya TZ 90% inapitia Nairobi,deal with it...Ndege za mizigo unazijua?
Na Nairobi kuna facilities ku-process mizigo,sio mozambique uwanja mavi zaidi ya KIA...
Ukisikia Nairobi Airport ni regional hub uelewe hilo,nobody is joking here!
Mtalii akitoka Ulaya,ni lazima apite Nairobi ndio aje TZ,shortest.....
Ukimzungusha J'burg basi huyo mzungu atabaki SA haruki huku mavini maana SA kuna mbuga inazizunguka za TZ mara 20....
We are playing with fire here...
Hawa viazi waje na majibu sahihi na kuhakikisha we win this na sio hizi shortcuts za mavichaa walizochukua
Mnatamba huku wakati viongozi wenu wakisikia hii wayaanza kuhaha kujikwamua Kwa maamuzi wanayoyafanyaHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Ukiona mtu anashangilia kutoelewana kunakojitokeza kati ya TZ na Kenya huyu si mtu mzuri kabisa. Welevu tunataka hizi nchi ndugu zielewane tu, watakao pata shida ni wawekezaji, watu wa chini na wafanyabiashara ila wanasiasa wataendelea kula kodi tu.Jambo jet haifiki Tanzania, haina kibali cha kuja Tanzania, shirika Pekee la Kanya linalofika Tanzania ni KQ, wacha kupanic, ndio kwanza tumeanza kuwaonyesha faida za ujinga wenu.
Binafsi siipendi hii EAC labda Kwa vile sijapata mtu wa kunielewesha faida zakeWaswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Sema kujidanganya.Mnatamba huku wakati viongozi wenu wakisikia hii wayaanza kuhaha kujikwamua Kwa maamuzi wanayoyafanya
Tanzania haina ndege hata moja inayotua JKIA ukiacha Precision Air, Kenya ndio watakaopata hasara kwa kukosa 3 kutua katika viwanja 3 vya kimataifa, eleza ni vipi Tanzania itapata hasara kufuatia hili katazo la Kenya?Mkuu
Naona unaenda kusiko....hatuzungumziii KQ hapa..KQ is a dead meat....
Nazungumzia tumenyimwa access ya JKIA which is an international hub EA yote not even close!
Tatizo ni uwanja wa JKIA na sio ndege za KQ zilizokwisha kufa tayari...
Ndege zinazotua JKIA volume yake EA yote hadi Ethiopia combined ni nonsense..na mizigo yetu yooote inapita JKIA ndio inakuja DAR..
Elewa hilo na sio vindege wewe
Faida ya eac ni kunufaisha biashara kati ya nchi hizi za eac. Lakini Tanzania haipendi kufata masharti ya eac, ndiyo inaleta migogoro kila wakati. Covid 19 eac strategy Tanzania hamukutaka kumsikiza Kagame kwanza hilo Jiwe lenyu lilijificha chato ili litoroke kuchukua simu ya Kagame.Binafsi siipendi hii EAC labda Kwa vile sijapata mtu wa kunielewesha faida zake