Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kenya Kuna COVID-19, Kitendo cha Serikali kuzuia KQ kutua Tanzania Tukipongeze, Wale tukiruhusu kuleta ndege Watatuletea Corona Tu
Tuzuie pia merge kutoka SA, USA, France, Italy, etc kutua hapa!
 
Kenya cha mtoto sana kwa Tanzania kwenye vita vya kiuchumi. Kenya akitaka kujua JIWE ni nani aende Canada akawaulize BARRICK kilichowapata hadi kuingia ubia.Tanzania ndiyo USA ya Africa, ubabe, ubabe.Kenya hatakiweza kina cha Jiwe

Hivi umewahi kufika hata hapo south sizungumzii Morocco, Egypt au Tunisia?
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Hay makorona yapo wapi mbn mtaani hatuyaoni
 
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Hakuna Ruhusa hyo ya kutoka Mombasa au mahal tofaut na Nairobi unajua maana ya route?
 
Baasi bwana,Kenya wakajifanya wanaweza kuisaidia Somalia dhidi ya Alshabaab.Aisee kinachowakuta wenyewe hawasimulii maana ni aibuu.Alshabaab wakawaonya nyie tuacheni haya ni yetu ya ndanii jamaa wanakaza eti tunawaweza.Jamaa tuachieni mambo yetu ya ndanii, mbona Tanzania wametushauri tu wakatuacha uamuzi tuchukue wenyewe.

Kufumba na Kufumbua Mwana kuli-find na Alshabaab huko kimewachwea wanataka kutunishiana na TZ jamani Kenyaa...Mi nawasikitikiaa.Maana Tz kwa Intelligence Africa hakuna wakumsumbua na America wanawajaza ujinga tu.Kitawakuta cha mwana ukome hawaaa watatafutanaaa.Na Ukizingatia Kenya wana ujinga mwingi na mara nyingi juu ya Tanzania na tamaa yao ya Mlima Kili itawaponza.

Tusubiri muda utasemaa.Ila Kenya kwa Tz bado sanaa.Kama Alshabaab tu wamewaoa.
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
 
Blah blah blah

Vindege vya mozambique ni mavi au nini?

Mizigo ya TZ 90% inapitia Nairobi,deal with it...Ndege za mizigo unazijua?

Na Nairobi kuna facilities ku-process mizigo,sio mozambique uwanja mavi zaidi ya KIA...

Ukisikia Nairobi Airport ni regional hub uelewe hilo,nobody is joking here!

Mtalii akitoka Ulaya,ni lazima apite Nairobi ndio aje TZ,shortest.....

Ukimzungusha J'burg basi huyo mzungu atabaki SA haruki huku mavini maana SA kuna mbuga inazizunguka za TZ mara 20....

We are playing with fire here...

Hawa viazi waje na majibu sahihi na kuhakikisha we win this na sio hizi shortcuts za mavichaa walizochukua
Kuendeleza kubishana na wewe ni kujishusha kiwango.
 
Tangu nisome international law nilikuwa sijawahi kushuhudia REPRISAL live lakini leo nimeiona live. Yamebaki magari ya watalii wanaowadanganya kuwa mlima Kilimanjaro na Serengeti vipo kwao na walikuwa wanawaingiza nchini na kuwadanganya kuwa wapo Kenya. Sasa wawapeleke kwenye vichuguu huko machakosi na wawadanganye kuwa mlima umekutwa na evolution na umebadilisha uelekeo na umbo😀😀😀😀😀🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Brother wewe ndio insane sana yaani!

KQ ni ndege,na JKIA ni kitu kingine.....KQ ni nearly dead....forget about it..

Nazungumzia JKIA ndio hub ya EA na ndio ndege zote duniani zinatua pale then ndio J'burg

Wewe umepeleka matako kuzungumzia KQ which shows how stupid you are.

Tumenyimwa access ya JKIA,thats the issue wewe kiazi
Wewe nadhani huna kitu umeelewa kwenye hii mada. Unakurupuka tu.
 
Blah blah blah

Vindege vya mozambique ni mavi au nini?

Mizigo ya TZ 90% inapitia Nairobi,deal with it...Ndege za mizigo unazijua?

Na Nairobi kuna facilities ku-process mizigo,sio mozambique uwanja mavi zaidi ya KIA...

Ukisikia Nairobi Airport ni regional hub uelewe hilo,nobody is joking here!

Mtalii akitoka Ulaya,ni lazima apite Nairobi ndio aje TZ,shortest.....

Ukimzungusha J'burg basi huyo mzungu atabaki SA haruki huku mavini maana SA kuna mbuga inazizunguka za TZ mara 20....

We are playing with fire here...

Hawa viazi waje na majibu sahihi na kuhakikisha we win this na sio hizi shortcuts za mavichaa walizochukua
Sasa hivi kuna ndege zinazoingia Tanzania moja kwa moja, si lazima ndege kupitia nairobi,kuna routs za moja kwa moja
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Mnatamba huku wakati viongozi wenu wakisikia hii wayaanza kuhaha kujikwamua Kwa maamuzi wanayoyafanya
 
Halafu Uhuru na serikali yake wana copy hatua zote za U.K za kupambana na Covid 19.

U.K walipo weka Lockdown na Kenya nao wakafata mkumbo. Walipoondo lockdown na Kenya nao wakafuata. Sasa hivi UK wapo kwenye mgogoro na Spain kuhusu quarantine na travel ban, Kenya nao wame copy.

Kenya wapo obsess na UK kama mademu wao walivyo obsess na vibabu vya kizungu!!
 
Jambo jet haifiki Tanzania, haina kibali cha kuja Tanzania, shirika Pekee la Kanya linalofika Tanzania ni KQ, wacha kupanic, ndio kwanza tumeanza kuwaonyesha faida za ujinga wenu.
Ukiona mtu anashangilia kutoelewana kunakojitokeza kati ya TZ na Kenya huyu si mtu mzuri kabisa. Welevu tunataka hizi nchi ndugu zielewane tu, watakao pata shida ni wawekezaji, watu wa chini na wafanyabiashara ila wanasiasa wataendelea kula kodi tu.
 
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Binafsi siipendi hii EAC labda Kwa vile sijapata mtu wa kunielewesha faida zake
 
Mkuu

Naona unaenda kusiko....hatuzungumziii KQ hapa..KQ is a dead meat....

Nazungumzia tumenyimwa access ya JKIA which is an international hub EA yote not even close!

Tatizo ni uwanja wa JKIA na sio ndege za KQ zilizokwisha kufa tayari...

Ndege zinazotua JKIA volume yake EA yote hadi Ethiopia combined ni nonsense..na mizigo yetu yooote inapita JKIA ndio inakuja DAR..

Elewa hilo na sio vindege wewe
Tanzania haina ndege hata moja inayotua JKIA ukiacha Precision Air, Kenya ndio watakaopata hasara kwa kukosa 3 kutua katika viwanja 3 vya kimataifa, eleza ni vipi Tanzania itapata hasara kufuatia hili katazo la Kenya?
 
Binafsi siipendi hii EAC labda Kwa vile sijapata mtu wa kunielewesha faida zake
Faida ya eac ni kunufaisha biashara kati ya nchi hizi za eac. Lakini Tanzania haipendi kufata masharti ya eac, ndiyo inaleta migogoro kila wakati. Covid 19 eac strategy Tanzania hamukutaka kumsikiza Kagame kwanza hilo Jiwe lenyu lilijificha chato ili litoroke kuchukua simu ya Kagame.

Sasa munateta Kenya iki sema haito amini takwimu za Tanzania kuhusu covid19 kwa sababu mulikataa kuungana na wengine kwa eac kuweka mikakati ya kupigana na huu ugonjwa.

Kwa sasa hata Kagame aliyekuwa shabiki wenu, hawaamini.
 
Huwa sikubaliani na nambo mengi ya JPM lakini kwa hili tuko pamoja,yani tubabaishwe na mabeberu yenye akili na Fedha huko duniani halafu Huyu lofa mwenzetu naye anataka kutuona mabwege!

Jino kwa jino, ngangari kwa ngunguri
 
Back
Top Bottom