Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Doto James,ilikuwa kazi yako,sasa itakuwajeFedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Inawabidi mumshukuru sana mh Lissu maana yeye ndiyo mwakilishi halisia.Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Sisi ni doona kantriiiiiiiSafi kabisa ..
Hii nchi ni masikini bado inahitaji misaada ..
Tuache jeuri
Kwahiyo siyo mabeberu tena?Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Kwahiyo siyo mabeberu tena?
Hakika hawa mahinteajamwe walikusudia kuliangamiza taifaNi wahisani mkuu na ni washirika wetu wa maendeleo , neno beberu aliondoka nalo mwendazake si unaona siku hizi hata wale wanyonge wa magufuli hawapo tena
Leo hao si ' mabeberu' tena....Safi kabisa ..
Hii nchi ni masikini bado inahitaji misaada ..
Tuache jeuri
Ameshindwa kujiombea apate hela kulaHuu msaada lazima utaunganishwa tu na uwepo wa Tundu Lissu huko Ubelgiji. Utasikia yule MIGA sijui kashindwa kuzuia misaada!!
MATAGA bhana!! [emoji56]
dona kantri inapokeaji mkopo wa riba kubwa namna hii toka kwa mabebru wenye vita ya maendeleo na sisi, teana wana LGBT?Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Acha utumwa ww... misaada labda kama unataka ww na familia yko... jitu zima na akili zako unafurahia misaada? Tafuta hela, shika jembe ukalimeInawabidi mumshukuru sana mh Lissu maana yeye ndiyo mwakilishi halisia.
Unateseka?dona kantri inapokeaji mkopo wa riba kubwa namna hii toka kwa mabebru wenye vita ya maendeleo na sisi, teana wana LGBT?
Tanzania Ni TajiriSafi kabisa ..
Hii nchi ni masikini bado inahitaji misaada ..
Tuache jeuri