Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imeandika barua kuiomba radhi Serikali, Wafanyakazi wa Chuo, Wanafunzi wa chuo kutokana na kusababisha taharuki kubwa wakati wa harakati za kudai na kutatua changamoto za Mikopo ya wanafunzi wa chuoni hapo.
Aidha, katika barua hiyo Uongozi wa DARUSO umewasisitiza wanafunzi wote wa chuo hicho kuwa watulivu wakati serikali hiyo ikiendelea kushughulikia stahiki zao.
ZAIDI SOMA HAPA:
PIA SOMA:
www.jamiiforums.com
===
www.jamiiforums.com
===
www.jamiiforums.com
Aidha, katika barua hiyo Uongozi wa DARUSO umewasisitiza wanafunzi wote wa chuo hicho kuwa watulivu wakati serikali hiyo ikiendelea kushughulikia stahiki zao.
ZAIDI SOMA HAPA:
Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB
Tatizo lipo wazi. Hayo mabillion yanayotajwa kutengwa na serikali, hayapelekwi kwenye bodi ya mikopo. Tutaishia kuwashutumu watu wa bodi kumbe hela yenyewe haipo zaidi ya kuwa kwenye hotuba za ku gain cheap popularity. Hivi kweli hela ziwepo na hilo tishio litokee, mbona watu wangeishatumbuliwa...
===
Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi
wahi maandamano upate kumwelewa profesa joyce ndalichako mzee Sijakuelewa mkuu mimi hayo maswala ya kupangana barabarani nishayaacha kitambo mkuu
Mkuu wa Serikali ya wanafunzi (DARUSO) na wenzake, wasimamishwa masomo kwa muda usiojulikana
Habari za muda huu! Kiongozi wetu mkuu wa serikali ya wanafunzi DARUSO ndugu Hamis Musa Hamis amekabidhiwa barua ya kuondoka chuoni kwa muda usiojulikana muda si mrefu kutokea sasa. MWENDELEZO: Viongozi wengine wa DARUSO waliosimamishwa masomo UDSM ni pamoja na Kasim Ititi-Mwenyekiti wa Bunge...