Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Najiuliza kuhusu tawimu.
Hivi Daruso hawakuwa na takwimu za wahanga wa mikopo?
Kama walikuwa nazo kwanini hakufuata majadiliano ya wadau?
Kama wameliona kosa lao,busara inaelekeza wajiuzuru na serikali iwasamehe warejee masomo ili wengine wenye kusimamia wanachokiamini/kutumwa na wenzao wachukue nafasi zao.
Swali la kizushi: Ni lini wahanga wa mikopo walikaa na Daruso na kuwatuma/ wawakilishe kwa maandishi?
Siku nyingine viongozi wa Daruso wajifunze kutumia takwimu/sahihi/maandishi kama evidence za kujustify kile wanachokiamini kama utetezi wa madai yanayowahusu wanafunzi ili kuepuka kupewa majibu ya jumla jumla ya wale wanaowatuhumu.
Hata hivyo wajifunze kuwa na subra ya majibu ya majadiliano wanayokuwa wanafanya kutatua changamoto zinazohusu wanafunzi.