DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Coward people cannot stand for their right.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dogo ni toto yatima? Mbona huna chembechembe za ubinadamu?Wametambua makosa yao
Ni Mkopo mkuu.. AhsanteUpuuzi umewajaa hawa watoto,nadhani sasa wameanza kupevuka kiakili,huwezi kuipa 72 hrs serikali inayokusomeshwa na kukugharamia kila kitu,huu ni ujangili ,pongezi kwa government yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hilo tu. Aya ina sentensi moja ndefu sana ambayo hata hivyo haijakamilika. Ameshindwa hata mambo madogo kama punctuations yanayosomeshwa shule ya msingibadala ya wanafunzi kaandika wananfunzi
sijui hawakufanya editing baada ya kumalizA kuandika
Mbaya zaidi hata kwenye hiyo barua hayupo kwenye huo msamaha, labda mi ndo sielewi kwanini wameamua kirahisi hivyo wakati kuna watu wameshaumia tayari,Yaani madogo mnatia hasira kweli mwenzenu kawatetea mpaka wameanza kuwashughulikia wamemtimua chuo hamna hata habari naye eti mnaomba msamaha kwa kudai haki yenu pathetic kwa viongozi kama hawa wangekuwepo enzi hizo za utumwa mpaka leo tungekuwa tumetawaliwa
Jaribu ku imagine mwandishi ameandika akiwa katika hali ganiKama hii barua imeandikwa na mwanafunzi wa chuo kikuu tuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa elimu. Mwanafunzi mwenye udhaifu wa kiwango hiki katika uandishi anafikaje chuo kikuu? Soma tu hiyo aya ya kwanza uniambie ulichoelewa.
After all hiyo pesa sio hisani ni haki yao ya msingi, otherwise tuseme HESLB wameamua kuvunja mkataba na hao wanafunzi. Pia ingekuwa vyema kwenye kukata deni lao wasuesue hivyo na per cent ya makato ipungue.Waingie barabarani ili iweje wakati mmeshaingiza upepo mnawapa chao? Toeni mshiko wa madogo acheni mikwala ya kishamba.
Na kosa la usaliti ni kubwa kuliko kosa la uhaini, ndio maana kwa Yamamoto na Yakamoto kuna kiapo cha damu ili kuepusha ndezi wa kugeuka nyuma, kama walianza pamoja walitakiwa wamalize pamoja, hawa ndio wanaotuletea viongozi wa handshake wakati watu wameshapoteza maisha, huku wengine wakiwa na ulemavu wa kudumu. Shame on us.Wamechelewa sana, inasikitisha baada ya wezao kusimamishwa, waliobaki kwenye serikali ya wanafunzi wamewasaliti wezao Rais wa chuo akiwemo.
Hii migomo ya vyuoni kama watumwa. Wakifukuzwa baadhi ya viongozi waliobaki wanafuata matakwa ya chuo na kusalita malengo.
Shubhaamit, wako wapi jamaa zao waliokuwa wanawajaza upepo humu.
Kwani huko chuoni ambapo wanasoma hao waliowapa motisha wa kusoma huwa wanakuwa nao darasani? Ww ukiwapa motisha simba au Yanga na ww unaingia uwanjani kucheza? Pumbavu kabisa.
Naunga mkono hoja, wangekuwa kwa yule dogo kiduku, wangekuwa chakula ya mamba zamani sana.Yaani hawa wakienda north korea huko ni wakupigwa tu risasi hakuna kingine. Yaani walichofanya ni usaliti wa kiwango cha juu