Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Kwa style hii hatutapata wale vijana viburi na wajeuri aliowazungumzia J K Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo Tangazo limelazimishwa na Ndarichako kwenda kwa Mkuu wa chuo akalazimisha pia viongozi waliobaki waweke wagonge mhuri..
Wametambua makosa yao
Kama hawajatambua waingie barabarani tuoneWatambue wapi, wamepangwa waombe radhi ili kuhadaa umma kwamba wamejiona wana makosa. Ukweli ni kuwa kama wasingetishia kuandamana wasingepata kitu. Bila kupanga maandamano ingekuwa kwao. Haki haiombwi bali hudaiwa.
Mtumishi hebu waambie waingie barabarani kama huu si msimamo wao tuoneHilo Tangazo limelazimishwa na Ndarichako kwenda kwa Mkuu wa chuo akalazimisha pia viongozi waliobaki waweke wagonge mhuri..
Bado vijana wanasisitiza kupewa chao View attachment 1297028
Kama ni walewale sishangai.
Msiwatishe wanafunzi serikali imetoa fedha na Rais alishasema hakuna kucheleweshea wanafunzi mikopo yao...halafu kuna toyboy mmoja anatumia madaraka yake vibaya kwa kutamka wanafunz wafukuzwe chuo. ...Watambue wapi, wamepangwa waombe radhi ili kuhadaa umma kwamba wamejiona wana makosa. Ukweli ni kuwa kama wasingetishia kuandamana wasingepata kitu. Bila kupanga maandamano ingekuwa kwao. Haki haiombwi bali hudaiwa.
Kama ni walewale sishangai.
Yaani madogo mnatia hasira kweli mwenzenu kawatetea mpaka wameanza kuwashughulikia wamemtimua chuo hamna hata habari naye eti mnaomba msamaha kwa kudai haki yenu pathetic kwa viongozi kama hawa wangekuwepo enzi hizo za utumwa mpaka leo tungekuwa tumetawaliwa
Wakifukuzwa shule je utawapeleka wapiAcheni Woga..
Taifa haliandai wasomi waoga.
Kama hawajatambua waingie barabarani tuone
Hahahaaahaaa hawa watoto sijui watajifunza lini..very stupid
Heko kwako Mh Waziri..umepnyesha msimamo na weledi wa hali ya Huu.
Hata serikali ingekaa kimya wasinge fanya lolote, rejea maandamano ya chizi MangeUpuuzi umewajaa hawa watoto,nadhani sasa wameanza kupevuka kiakili,huwezi kuipa 72 hrs serikali inayokusomeshwa na kukugharamia kila kitu,huu ni ujangili ,pongezi kwa government yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha woga..
madogo wase/nge sana aisee, yaani ni usaliti wa hali ya juuYaani madogo mnatia hasira kweli mwenzenu kawatetea mpaka wameanza kuwashughulikia wamemtimua chuo hamna hata habari naye eti mnaomba msamaha kwa kudai haki yenu pathetic kwa viongozi kama hawa wangekuwepo enzi hizo za utumwa mpaka leo tungekuwa tumetawaliwa