Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) waomba radhi

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imeandika barua kuiomba radhi Serikali, Wafanyakazi wa Chuo, Wanafunzi wa chuo kutokana na kusababisha taharuki kubwa wakati wa harakati za kudai na kutatua changamoto za Mikopo ya wanafunzi wa chuoni hapo.

Aidha, katika barua hiyo Uongozi wa DARUSO umewasisitiza wanafunzi wote wa chuo hicho kuwa watulivu wakati serikali hiyo ikiendelea kushughulikia stahiki zao.

ZAIDI SOMA HAPA:
PIA SOMA:

===
===

 
Acheni Woga..

Taifa haliandai wasomi waoga.
 
Yaani madogo mnatia hasira kweli mwenzenu kawatetea mpaka wameanza kuwashughulikia wamemtimua chuo hamna hata habari naye eti mnaomba msamaha kwa kudai haki yenu pathetic kwa viongozi kama hawa wangekuwepo enzi hizo za utumwa mpaka leo tungekuwa tumetawaliwa
 
Sasa watakoma kukurupuka na kutoa matamko hovyohovyo. How come "unaipa serikali" masaa 72? Zamani tulikuwa hatutoi tamko. Mnakutana tu na kuazimia kuanzisha Kunji baada ya efforts zote kugonga mwamba.
 
Hahahaaahaaa hawa watoto sijui watajifunza lini..very stupid

Heko kwako Mh Waziri..umepnyesha msimamo na weledi wa hali ya Huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…