badala ya wanafunzi kaandika wananfunziKama hii barua imeandikwa na mwanafunzi wa chuo kikuu tuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa elimu. Mwanafunzi mwenye udhaifu wa kiwango hiki katika uandishi anafikaje chuo kikuu? Soma tu hiyo aya ya kwanza uniambie ulichoelewa.
madogo wase/nge sana aisee, yaani ni usaliti wa hali ya juu
So the letter was fabricated!Hilo Tangazo limelazimishwa na Ndarichako kwenda kwa Mkuu wa chuo akalazimisha pia viongozi waliobaki waweke wagonge mhuri..
Bado vijana wanasisitiza kupewa chao View attachment 1297028
View attachment 1297029
Uwongo!Walikuwa wanadanganywa na wanasiasa
Eti Hivi fedha walizotakiwa kupewa zimeenda wapi?Wewe acha uwongo wako
Enzi zako zipi?
Ni samweli sita tu ambaye angeweza kusema hayo maneno
Usiwadanganye vijana kuandamana watapoteza miguu yao bila sababu
Teh teh. Hizo finyango za kufichwa kwa tonge la ugali zinakuwa na mkato wa ukubwa gani?Kula na mbabe hakikisha ukitoza tonge kandamizia na finyango ya nyama kabisa kabisa maana ukizubaa utaambulia mchuzi mtupu.
Kaandika huku akilia na kusahau ku re edit kabla haja print.Kama hii barua imeandikwa na mwanafunzi wa chuo kikuu tuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa elimu. Mwanafunzi mwenye udhaifu wa kiwango hiki katika uandishi anafikaje chuo kikuu? Soma tu hiyo aya ya kwanza uniambie ulichoelewa.