Serikali ya Zanzibar kemeani kauli za Ahmed Ally na Mzee Dalali zisizo za kimichezo, zinawachafua

Tusipochukua kombe jiandaeni kwa makazi mapya ya kaburini...
 
Mm nilivyoona eti masheikh wanawaombea Dua nikajisemea hawa tayar
 
Kuna mtu alitoa kauli ya kujipanga kuihujumu Simba, huyo ndiye anayeambiwa hayo. Wengine msiogope
 
Hilo kombe yanga walishavaa medali zake, wanazo lakini sikusikia upuuzi. Kila mtu alishiriki kwa njia yake bila shida. Hili la Sasa ni maskini akipata matako hulia bwata
 
Hilo kombe yanga walishavaa medali zake, wanazo lakini sikusikia upuuzi. Kila mtu alishiriki kwa njia yake bila shida. Hili la Sasa ni maskini akipata matako hulia bwata
Na walisema hakuna timu nyingine nchini itavaa medali kama yao. Sasa hivi wanahaha
 
Hizo ni hamasa za mpira hazina madhara mbona? Ila atakaye jaribu kutuharibia tutanyooka naye ulalo
Kauli za kifala kutoka kwa fala Dalali!! Zee zima linaongea mambo ya *******.
 
Watawala wanaweza kupuuza matamshi kama haya, lakini Iko siku watajilaumu.
 
Whatever ila ili kombe tuhakikishe linabaki hapa kwa njia yoyote ile hata kwa kulinunua
Uchukue kombe kwa mpira gani? Ununue kwa pesa ipi? Uwezo wenu ni kununua marefa wa bongo kwa senti mbili. Unashindwa kuifunga timu kama Dodoma Jiji au Namungo mpaka ubebwebwe na referree ndiyo umfunge RS Berkhane! In your dreams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…