johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
AjabuBaba Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Kausha basi mkuu, mbona unataka kumchongeaBaba Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Bure ni elimu bila malipo.Baba Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Babu Tale wa CCM amekusikia manka!Atafutiwe scholarship English Medium School.
Ampeleke mchepuo wa kiingereza kama kweli ana maanisha kumsaidia lakini siyo kumnunulia sare na kidumu cha maji pamoja na fagio.Bure ni elimu bila malipo.
Wanasiasa utawaweza.Baba Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Daa! Umefikiria mbali.Baba Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Kuna madogo ni Golden mzee huwezi amini mpaka ukutane nao.Ivi yule mtoto nikweli au kuna MTU pembeni alikuwa anamtajia majibu ya Yale maswali
Chekechea nayo si ina kama stage tatu?hapo ajaruka kuruka angetoka chekechea hadi la 2 na kuendelea ikiwa na maana karushwa drs la kwanza sasa kutoka chekechea kwenda la kwanza karuka darasa gani najaribu kuwaza.