Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

Hapo ajaruka kuruka angetoka chekechea hadi la 2 na kuendelea ikiwa na maana karushwa drs la kwanza sasa kutoka chekechea kwenda la kwanza karuka darasa gani najaribu kuwaza.
Basi ilimuradi hakuna jema.
Tanzania 'laha sana' kama unakula 'balafu' wakati wa kiangazi.
 
Hapo ajaruka kuruka angetoka chekechea hadi la 2 na kuendelea ikiwa na maana karushwa drs la kwanza sasa kutoka chekechea kwenda la kwanza karuka darasa gani najaribu kuwaza.
Kweli miaka 6 kwa la kwanza bado kachelewa pia ilitakiwa apelekwe STD III.
 
Sasa hii ndio habari ya kuleta hapa, wakati kuna watu tuliishia darasa la 5 tukafanya paper ya std 7 na tukachaguliwa shule za vipajai maalum
Sijaona maaujanja ya huyo dogo ila iwapo kufanya yaliyo mbele ndio kipaji maalum hata mimi nilistahili sema tu sikupigiwa chapuo.

Stori yangu,
Hii nikweli na kweli tupu:
Wakati tukiwa darasa la Sita enzi hizo, Shule yetu ilipata mkasa wa kuwa na madarasa pungufu katika kipindi fulani hali iliyolazimisha darasa la saba na la sita kuwekwa katika chumba kimoja kikubwa tukipangiliwa katika hali ya kila darasa likiwa limepeana mgongo na lingine.
Ghafla tu siku moja, mwalimu wa Hisabati wa darasa la saba ambae pia alikuwa akitufundisha Hisabati darasa la Sita (Sisi) alitoa Jaribio kwa Darasa la saba.
Tukiwa tumetulia tuli,
Mwalimu yule wa Darasa alituamuru mimi na Mkali mwenzangu wa Darasa la sita kuwa tuunganae na La Saba tufanye Jaribio hilo,
Amini usiamini, tuliwakimbiza wale mafala shule nzima haikuamini.

Zingekuwa zama hizi si ajabu ningeonyeshwa kwenye TV.

Najua atatokea mwehu mmoja atasema hii Chai😕
 
Sasa hii mbona nyepesi, mimi wakati nipo darasa la nne nilikuwa nawafundisha watu wa darasa la saba hesabu.
Mitihani ya darasa la saba ya jumamosi nilikuwa nafanya afu nawaburuza.
Nilikuwa kichwa wa darasa la nne na la saba kwa wakati mmoja
 
Hivi kati ya mtoto Charles Mathias na bwana Kobehelo nani alipaswa kuwa afisa tawala?
 
Back
Top Bottom