Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

Sasa hii ndio habari ya kuleta hapa, wakati kuna watu tuliishia darasa la 5 tukafanya paper ya std 7 na tukachaguliwa shule za vipajai maalum
hii ni porojo ulifanyaje mtihani ujasajiliwa.
 
kwa zile hesabu alizokuwa akijibu,makumi Hadi maelfu,anafaa aanze darasa la pili.hata hivyo chekechea kwa mitaala yetu haipo rasmi,ndio maana tuna darasa 1-7,na ili ufanye mtihani wa taifa lazima uwe umepimwa ktk madarasa hayo 1-7,pungufu ya hapo huwa ni kibali maalum Cha kurushwa darasa.huyo mtt kama ataanza darasa la Kwanza Basi kimsingi hapo hajarushwa darasa Bali ameanzishwa darasa la Kwanza.kama ni kutaka kumrusha darasa ktk maana halisi ilitakiwa aanze la darasa la 2,lakini pia ili arushwe darasa la pili na kwakuwa hajawahi kulisoma darasa la 1,Basi protocol itawalazimu wamuandikishe Kwanza darasa la 1,ahuzulie darasa Hilo walau miezi 3 Hadi 6,ndipo arushwe kuingia darasa 2 Kama wataona inafaa,au hata la 3 Kama wataona pia uwezo wake unakidhi. Hiyo ndo protocol ...
 
Kwani akisoma shule za serikali nini kitapungua?
ampeleke mchepuo wa kiingereza kama kweli ana maanisha kumsaidia lakini siyo kumnunulia sare na kidumu cha maji pamoja na fagio
 
Hapo ajaruka kuruka angetoka chekechea hadi la 2 na kuendelea ikiwa na maana karushwa drs la kwanza sasa kutoka chekechea kwenda la kwanza karuka darasa gani najaribu kuwaza.
Maajabu
 
Back
Top Bottom