Anagharimia elimu ya huyo mtoto hapo kijijini? Elimu si bure?labda angesema amhamishe shule then amgharamie hapo sawaSerikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza baada ya kuonyesha kipaji kikubwa kwenye somo la Hisabati.
Afisa tawala wa mkoa bwana Kobehelo amesema agizo hilo lianze kutekelezwa mara moja.
Naye mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ameahidi kugharamia elimu ya mtoto huyo hapo kijijini.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Stage tatu za kiwiziwizi tu. Ukitaka kuikwepa hiyo kama mwanao yupo vizuri sana na umri umeenda, akimaliza stage one (the so called baby class), mhamishie shule nyingine akafanye interview ya stage ya tatu (pre unit) au ya darasa la kwanza kabisaChekechea nayo Si ina kama stage tatu ?
Tena hapo kijijini!Babu Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Hajaruka darasa sema kapelekwa kuanza la kwanzaHapo ajaruka kuruka angetoka chekechea hadi la 2 na kuendelea ikiwa na maana karushwa drs la kwanza sasa kutoka chekechea kwenda la kwanza karuka darasa gani najaribu kuwaza.
rejea kichwa cha andiko mkuu wamesema arushwe darasaHajaruka darasa sema kapelekwa kuanza la kwanza
Hakuna chabure huko mkoa kuna mtoto alikuwa anaandikishwa gharama karibia elf 10 bila hiyo hakuna kusomaBabu Tale agharamie nini tena wakati elimu ni bure?
Hiyo sijaiona mkuumkuu unasound kama Baba wa Matilda kwenye ile movie.
Nakumbuka kuliwahi kuweko shule za watoto wenye vipaji. Ila ziliishia viongozi kujaza watoto wao wasio na vipaji.Tusirejee Zama hizo.Kurusha darasa hakusaidii,kitu.Watoto wenye vipaji inatakiwa Serikali iwaendeleze katika vipaji vyao.iwasomeshe kwa gharama zake .Hawa watu nchi zilizoendelea wanawatafuta Sana,Ni wachache Sana duniani wa aina hiyo.kumsomesha mtoto wa aina hiyo Ni uwekezaji utakaolipa maradufu mbeleni. Naiomba Serikali iwaalee Hawa wanasayansi wa miaka ijayo.Ndio akina Einstein Hawa.
Uwaga wanapotea.. wazazi watazunguhswa kupewa ada. Yaani watachomesha tu. Bora dogo abaki hapo hapo ambapo wazazi wake wana weza.. hao wanasiasa hawana dogo wao wanachojali ni publicity.ampeleke mchepuo wa kiingereza kama kweli ana maanisha kumsaidia lakini siyo kumnunulia sare na kidumu cha maji pamoja na fagio
Dogo anaweza kuzibiwa riziki kizembe, akapelekwa elimu bure wakati kulikuwa na nafasi ya kupelekwa shule ya maana, hao wazazi wajiridhishe chap kwamba Babu tale atamsomesha wapi na kwa level ipi waandikishiane, kama ni magumashi wakatae ofa yake mapema wafadhili wa maana wapo wengi maana dogo anao uwezoUwaga wanapotea.. wazazi watazunguhswa kupewa ada. Yaani watachomesha tu. Bora dogo abaki hapo hapo ambapo wazazi wake wana weza.. hao wanasiasa hawana dogo wao wanachojali ni publicity.
Shule yenyewe anayosoma haina madarasa wanaosomea kwenye pagala, halina madawati wanakaa kwenye mawe.Hichi kichwa kitapotelea kwenye mashule ya kata!
Ataenda kuharibiwa tu.
Mkuu sio chai hii.???Kama kweli basi we ni munomaSasa hii ndio habari ya kuleta hapa, wakati kuna watu tuliishia darasa la 5 tukafanya paper ya std 7 na tukachaguliwa shule za vipajai maalum.
Mbona kwa umri wake alitakiwa kuwa darasa la pili huyo, kwa muda mrefu watoto wamekuwa wanaanza darasa la kwana wakiwa na miaka mitanoSerikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza