Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)

Hata kama mna katiba nzuri kiasi gani, kama mizizi ya ukabila na ukanda imeota na kustawi kama ilivyo Kenya, HAMUTOBOI. Katiba nzuri haijawasaidia kitu Wakenya.
 
Maandamano ndo njia pekee ya kushinikiza kenge wasikie

Usiombee nchi kuchafuka mkuu maana maandamano ndio chanzo cha ghasia nchini wewe waeza jiamini ila familia yako ikateseka
Amani ya tz wengi wanaitamani
Usichukulie poa man now waeza sema kwa ujasiri ila kuna matukio yakotokea utajua wew ni mweupe xnaa
 
Tafuteni pesa mkiwa kwenye amani umaskin wenu ndio unawafanya muwe na hasira za ovyo...
Always waandamanaji ni watu vijana wasio na hela huezi kuta mtu mwenye familia safi akasapoti upuuzi wa machafuko
 
Natoa tu angalizo Wanaoandamana ni Watu wazima lakini Watoto wananyimwa haki yao ya msingi ya Kusoma

Watanzania tusiige ya Majirani Zetu

Mlale Unono
viongozi wanaposhiba na kusaza na familia zao wanapaswa kufikira pia kuna wenye njaa kupitiliza
 
Halafu kuna Watanzania wapumbavu wanaona wivu kuona Kenya wanaandamana. Sijui akili zao ziko wapi
 
Tanzania hakuna amani, bali kuna upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…