mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hawa majirani zetu huwa kila mtu ni Comedian tu, Utasikia Yaan Sufuria iko na pesa ndogo kuliko ungaKishindo cha "Sufuria Movement"[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa majirani zetu huwa kila mtu ni Comedian tu, Utasikia Yaan Sufuria iko na pesa ndogo kuliko ungaKishindo cha "Sufuria Movement"[emoji16]
Stress zitakuua. Upumbafu sio tusi ni sifa. Nashangaa umehamaki. Kweli wewe bado mtoto mdogoSikuz8d wewe kima
Mpumbavu tu huna akili wewe usitake nikutukane hapaMpumba ndio Nini? Jifunze kuandika vizuri.
Sawa bwana kimaStress zitakuua. Upumbafu sio tusi ni sifa. Nashangaa umehamaki. Kweli wewe bado mtoto mdogo
Hata kama mna katiba nzuri kiasi gani, kama mizizi ya ukabila na ukanda imeota na kustawi kama ilivyo Kenya, HAMUTOBOI. Katiba nzuri haijawasaidia kitu Wakenya.Serikali ya Kenya imeamuru kufungwa kwa shule za msingi na sekondari za mchana zote jijini Nairobi na Mombasa kuelekea maandamano ya upinzani ya Azimio yatakayofanyika kuanzia Jumatano ya wiki hii.
Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Prof. Kithure Kindiki na mwenzake wa Elimu Ezekiel Machogu, mawaziri hao wawili wameeleza kuwa ripoti za ujasusi zinaziaminika zimebainisha mpango wa kundi la watu wenye nia mbaya kushambulia shule maalum katika majimbo hayo mawili ili 'kuleta hofu na ghasia kwa umma' wakati wa maandamano hayo.
"Serikali imepokea habari sahihi za usalama zinazoonesha kwamba kuna watu wahalifu wana nia ya kufanya mapambano ya silaha na vyombo vya usalama karibu na shule kadhaa ndani ya majiji ya Nairobi na Mombasa," inasema taarifa hiyo iliyosomwa na CitizenDigital.
"Kama tahadhari ya kuhakikisha usalama wa watoto wa shule, imeamuliwa kuwa SHULE zote za msingi na sekondari za mchana ndani ya majiji ya Nairobi na Mombasa ZITABAKI kufungwa kesho."
---
The government has ordered theclosure of all-day primary and secondary schools in Nairobi and Mombasa aheadof anti-government demonstrations set to be staged by the Azimio oppositioncoalition from Wednesday this week.
In a joint statement signed byInterior CS Prof. Kithure Kindiki and his Education counterpart EzekielMachogu, the two ministers noted that credible intelligence reports haverevealed plans by a number of rogue elements to attack specific schools in thetwo counties in order to 'unleash terror and violence on the public' during thedemos.
"The Government hasreceived credible security intelligence that criminal elements intend to engagein armed skirmishes with security agencies around certain schools withinNairobi and Mombasa Cities," reads the statement seen by CitizenDigital.
"As a precautionarymeasure to ensure the safety of school children, it has been decided that ALLday Primary and Secondary schools within Nairobi and Mombasa cities SHALLremain closed tomorrow."
The Education Ministry willannounce the resumption of learning in the aforesaid schools upon assessment ofthe security situation in the course of Wednesday.
According to Koome, the RailaOdinga-led faction had by Tuesday evening not made any formal notification tothe police on the planned gatherings.
He thus warned Kenyans againstparticipating in the demos saying the police would accordingly deal withdemonstrators.
Maandamano ndo njia pekee ya kushinikiza kenge wasikie
viongozi wanaposhiba na kusaza na familia zao wanapaswa kufikira pia kuna wenye njaa kupitilizaNatoa tu angalizo Wanaoandamana ni Watu wazima lakini Watoto wananyimwa haki yao ya msingi ya Kusoma
Watanzania tusiige ya Majirani Zetu
Mlale Unono
Halafu kuna Watanzania wapumbavu wanaona wivu kuona Kenya wanaandamana. Sijui akili zao ziko wapiUsiombee nchi kuchafuka mkuu maana maandamano ndio chanzo cha ghasia nchini wewe waeza jiamini ila familia yako ikateseka
Amani ya tz wengi wanaitamani
Usichukulie poa man now waeza sema kwa ujasiri ila kuna matukio yakotokea utajua wew ni mweupe xnaa
Tanzania hakuna amani, bali kuna upumbavuUsiombee nchi kuchafuka mkuu maana maandamano ndio chanzo cha ghasia nchini wewe waeza jiamini ila familia yako ikateseka
Amani ya tz wengi wanaitamani
Usichukulie poa man now waeza sema kwa ujasiri ila kuna matukio yakotokea utajua wew ni mweupe xnaa
Ujinga na upumbavu nasikia siyo tusiNatoa tu angalizo Wanaoandamana ni Watu wazima lakini Watoto wananyimwa haki yao ya msingi ya Kusoma
Watanzania tusiige ya Majirani Zetu
Mlale Unono
Hata Nyumba ya Sanaa siyo tusi!Ujinga na upumbavu nasikia siyo tusi
Huo upumbavu wa Tanzania ndiyo unakufanya uendelee kuwa hai na kutweet hapa Twitter.Tanzania hakuna amani, bali kuna upumbavu