Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Sheria ni mpya na imekuja kuwaumiza zaidi wale wanaofanya transactions za viwango vya chini.

Kutoka kwenye lile jedwali, nimeona watakaoumia ni wale watakaotuma au kutoa kuanzia shilingi 5000/= mpaka 30,000/=

Mfano, kutoka shilingi 10,000/= mpaka 14,999/= wanakata.

Lakini pia, kutoka shilingi 15,000/= mpaka 19,999/= napo wanakata, wamefanya hivi makusudi wakijua watanzania wengi hivi ndivyo viwango vyao vya kutoa na kupokea pesa.

Hali ni tofauti kwa yule atakayetoa mfano kuanzia 100,000 -200,000/= huyu atakatwa mara moja pekee, wamefanya hivi wakijua hawa ni wachache na wanaojiweza.
 
Kuna hii sheria ya miamala ya kieletroniki inayoanza kutumika July 01,2022.

Kuna mkanganyiko wa mjadala hapa JF.

Kuna watu wanasema hii ni tozo mpya haikuwepo kabisa.

Kuna watu wanasema ni tozo ambayo inaenda kugusa Transaction mpaka za ATMs.

Tujadili miamala na maeneo ambayo hizi tozo zitagusa kwa mujibu wa sheria mpya.

Sheria imeambatanishwaView attachment 2299324
Unapopewa mshahara wako serikali inakukata kodi benki inakukata tozo na serikali inakurudia tena inakukata kodi! dalili serikali imefilisika.
 
Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!

Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
Ndio wameshindwa . . . Kama hali isingekuwa hivyo haya matozo usingeyaona wala kuyasikia.
Kweli Nchemba ni failure
 
Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!

Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
Mimi nishaanza hilo zoezi
 
Wenzetu hamna akili?
Atm ukitoa pesa unakatwa na bank, sasa hivi serikali pia itaweka makato yake. Sasa hapo inapunguwaje?

NB
Pia Kodi na tozo ni lazima
Serikali lazima ipate mapato, hata kwa kutumia nguvu
Bhanyaning'we
 
Back
Top Bottom