Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

Watu wa Kigoma walishasema kuwa mkoa wao uondolewe kwenye ramani ya Tanzania coz wao pia wahataki kuwa sehemu ya Tanzania hasa Tanzania hii iliyojaa mauaji ya raia kila mara lakini nyie watawala mliendelea na mnaendelea kuwang'ang'ania mwisho wa siku mnaanza kuwaambia kuwa wao sio raia wa nchi hii.
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Mbona wa kwetu kajichanganya na uraisi tukampa
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Hivi mandela angesema awafukuze wale wazungu wote wangekwenda wapi manake sio kwao kule, wangerudi uholanzi nan angewapokea na wangekaa wapi, keshokutwa mtamsikia yuko vatican na cheo kikubwa tu jiwe lenu litaenda na kuomba kw huyo huyo aombewe
 
Ushahidi tafadhari...
 
Kaka kwani wanaopinga wote ni chadema, mbona mnajitoa ufahamu, haya ubaloziwa marekani nao ni chadema, kinaongelewa kingine nyie mnaingiza uvyama,
 
Huu ni uzembe NA unafiki mwengine wa Salary slip NA yule mkimbizi wa kujitakia. Huyu Askofu anatokea from the strongest religious institution, Roman Catholic, hawa wanatawala dunia, ikiwa kavuliwa urai basi nao wameafiki la kama sivyo watamtetea kwa nguvu zote.

Wewe SS NA Ngurumo mnajitahidi sana kutafuta uchafu kwa kila njia hata kuutengeneza, ilihali tuu mpate posh yenu. Mnachosha NA Mnaanza kuchukiwa sasa
 
Tutashaaa
 
Amfanyie mpango akaishi Belgium aliko yule msaliti
Yule msaliti alisaini mikataba mibovu nchi ikaingia hasara? Au Yule msaliti aliyeisabaishia ndege yetu ikamatwe na unalipishwa mahela kibao kwa kavunja mikataba bila mpangilio? Au Yule msaliti aliye nunua kivuko cha MV Dar es salaam halafu kisifanye kazi na kuisababishia serikali hasara kubwa? Au Yule aliye uza nyumba za serikali kwa bei ya kutupeleka ns kuhonga juu? Au Yule msaliti......? Kweli Lisu kalisababishia taifa hili hasara kubwa lakini watu hawaoni wamejitahidi kumsifia na kushangilia.
Heri uwe masikini wa mali kuliko kufilisika akili.
Masikini Tanzania! Taifa linaangamia kwa kukosa maarifa
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Hii kweli maana wapo wengi sana mtaani tunaishi nao.
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Kabla ya kutoa maoni /hoja zisizo mtukuza mfalme wa magogoni alkuwa raia, lakini baada ya kutoa hizo hoja sasa si raia
 
kama wewe ni mtanzania,huwezi kushindwa kuonesha walipozikwa wazee wako,muite Helsinki nae awe mkimbizi wa kiuchumi

Elimu yetu ina shida mahali si bure au laana nahisi taifa limejaa vichaa huwezi hata kuiishughulisha akili yako kuwaza tofauti na vile mtawala kaongea.
 
Pombe magufuli anazaliwa kakonko na Amagufuli ndilo jina kamili ambae allitokea burundi
 
Eyakuze ni mzaliwa wa Mwanza, lkn asili yake ni Muhaya, baba na mama yake ni wahaya
 
Kabla ya kutoa maoni /hoja zisizo mtukuza mfalme wa magogoni alkuwa raia, lakini baada ya kutoa hizo hoja sasa si raia
suala la uraia ni suala mtambuka.
kuishi sehemu kwa miaka 30,hakukupi sifa ya kuwa raia
Ikipatika sababu utahojiwa tu,nawe kazi yako ni kutoa ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…