Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

Tunaposema mabeberu Denmark wanawekwa wapi?
Bila shaka hata kuitwa beberu imewakatisha tamaa.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kila mwanafamilia anatoa amri mamlaka ya baba imetekwa nyara!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Si mulisema bwana yule hana uhusiano na mataifa ya mabeberu hii sasa ni ushahidi kuwa sasa ndiyo hatuna uhusiano mzuri na mataifa ya mabeberu.
 
Si mulisema bwana yule hana uhusiano na mataifa ya mabeberu hii sasa ni ushahidi kuwa sasa ndiyo hatuna uhusiano mzuri na mataifa ya mabeberu.
Tukiweka pengine siasa pembeni,hv awamu hii ya 6 unaielewa kweli mkuu? kuna Rais? 🤣 🤣 -Hili swali sijawah kujiuliza wallah
 
Kwa mtu mwenye akili timamu atakwambia nchini hakuna uongozi.Ni nchi pekee nayoiyona rais haheshimiki kabisa hasa hasa na wasaidiz wake.
Yaani hata msemaji kajipakulia shea ya mamlaka. Kamanda ndo mwisho wa mambo. Si ajabu kamanda wa nyota mbili kumdindia mwenye mikasi licha ya mwenye nyota tatu. Wanaingia jikoni tu na kupakulia vinono. Kuleni wa nangu sikukuu yenu hii, wao mapaja sisi makucha...

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi-sijawah kufika point na kujiuliza kuhusu uwezo wa Rais-ila for the first time nimejiuliza hili swali,kiufupi taifa limepwaya mnooo
 
Danmark waliamua kujiondoa Tanzania kabla mama Mulamula hajaota kuwa siku moja anaweza kuukwaa uwaziri. Uamuzi wa Danmark hauna uhusiano na uwezo wa mama Mulamula. Watanzania tu wavivu wa kufikiri.
Usiwe mvivu kudadavua mambo.
Inaelekea una IQ ndogo.
Baada ya mwendazake miaka mitano na miezi ya kuona hali ki nchi inaendelea kuzorota kwatika fani ya Haki za binadami, kufokewa na Mulamula, business as usual a la Mwendazake.
Halafu unashindwa kuunganisha dots.
Pengine upigwe radi ya kichwani!
 
Kenge mpaka atoke damu kichwani ndo huwa anaelewaga.
 
Sijaona sababu ya Mahusiano mabaya kwenye BARUA yao, au tumejibweteka kwamba ni lazima kusaidiwa hata kama hatuna sababu ya Kusaidiwa? Au tuutangazie ulimwengu Tina Mgogoro wa hali ya Usalma ndani Ili waendelee kutupa misaada?
Sababu ya Kusikitika na Kuwa na haofu ni nini ilhali wamesema wanaelekeza nguvu kwenye Maeneo yenye uhitaji Mkubwa zaidi ya Sisi
 
Watz hebu tuache unyonge ndg zangu🤔!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…