Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

Kwa asiyekuelewa wewe ni msaka tonge tu anayeongozwa na maslahi binafsi na ubinafsi-Mirija imerudi unaanza kupangia wengine nini cha kuwaza humu mitandaoni? 😳 😳 😳
Wewe unataka mirija irudi au uzibiwe mirija? Acha upumbavu eti.

Naaam mirija imerudi maana Meko aliua uchumi ikiwemo sekta binafsi kwa sasa tumepata nafuu.

Wewe si zamu yako na Meko imeisha ni wakati wa kutulia badala ya kulia Lia,kutesa kwa zamu ndio maisha.
 
Sasa kama wao wanataka kushirikiana na serkali zenye mfumo dhaifu ya Demokrasia na Haki za Binadamu.
Sisi tunataka waendelee kuwa nasi, TULETE MACHAFUKO NA KUMINYA HAKI
 
Hapo kwenye kuimarisha demokrasia na utawala wa sheria ndio kwenye tatizo. Hawa wana macho na masikio, hawahitaji kuambiwa.

Amandla...
 
Wewe unataka mirija irudi au uzibiwe mirija? Acha upumbavu eti.

Naaam mirija imerudi maana Meko aliua uchumi ikiwemo sekta binafsi kwa sasa tumepata nafuu.

Wewe si zamu yako na Meko imeisha ni wakati wa kutulia badala ya kulia Lia,kutesa kwa zamu ndio maisha.
This is typical ubinafsi aliokuwa anapambana nao Magu- Crimea ndo maana akasema ubinafsi wa watu wachache kama nyie ndo unaliangamiz taifa.sasa hv ule wizi wa kwenye construction sector umerudi na mnafaidika ndo mnatoa ujinga humu mitandaoni
 
Unaonaje hali ilivyo baada ya chama kutoka kwenye mikono ya washamba na kurudi kwa watoto wa mjinj kina JK? Mambo safi ee?
Safi kabisa. Chama kiko mikono salama kabisa

Washamba walitaka kukimaliza chama...

Ile Aiport ya Chato tutaitafutia kazi nyingine, sio vibaya ng'ombe wakiota jua wakapata vitamin D.

Kazi iendelee...
 
Team CCM washamba wana tabu sana. Yani wanaona Meko alikuwa sahihi sana kiasi kwamba hakuna binadamu aliye hai anaweza kumfikia...

Wanaamini hivi sasa anaongoza malaika...
Huyo jama ni opportunist sana,Mwanzoni alikuwa anakesha humu mitandaoni akijifanya anakuja na ajenda ya kitaifa kumponda MEKO kumbe ubinafsi tu.Sasa hv construction sector chini ya samia wameanza kupata hela ndo anaanza kupangia watu humu mitandaoni nini cha kufanya.Ni ushamba
 
Hao wazungu waondoke tu maana kukaa kwenye nchi yenye utawala wa kihuni ni kujishusushia heshima yao. Tena na mabalozi wengine waige hali hiyo.
 
Serikali iache kuwatisha mabalozi. Juzi alisikika waziri akiwapiga mkwara.
Sasa serikali ina sikitika nini tena?
Pigeni mkwara wao wana rudi kwao. Kaeni na ubabe wenu.
Mama Tozo anapaswa kumfuatilia Kwa karibu Waziri wa Mambo ya Nje kuona utendaji wake. Tamko alilolitoa juzi alitengue haraka kabla Mambo hayajaharibika zaidi. Akishupaza Shingo atajua yeye.
 
Aisee, nchi rafiki serikali iwe inaandaa delegation kwenda kuwatembelea/kuwashukuru kwamba tunathamini michango/misaada yao kwetu. Mkianza kutia watu ndani basi jitegemeeni. Mbona kikwete walimtukana sana lakini hakujali na mambo yalienda? Kutawala watu inabidi kuwa na kifua na uadirifu sio lele mamaaa.
 
Alianza vibaya wapi?

she is alone of the most decorated diplomats and her cv huwezi kuimatch
-Kuongoza Great Lakes Initiative tena enzi za vurugu za kagame na wenzake
  • elimu
  • kuwa Balozi
  • kuwa katibu mkuu wa wizara ya nje
  • kuwa mkurugenzi wa African studies George Washington university

tupe cv yako sasa
With all those credentials, she is failing in the diplomatic field, pathetic!
 
Back
Top Bottom