Haki za binadamu zipi jomba unazosema. ..mbona watanzania wapo free sana kufanya chochote Wanachotaka ili mradi wasivunje sheriaKwa miaka takribani sita sasa serikali ya Tanzania imekosa kabisa heshima mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Toka nchi hii ipate uhuru haijawahi kuwa na rekodi mbovu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama ilivyo leo tatizo ambalo linasababishwa na ccm kukata tamaa kabisa na kukosa mbinu yoyote ya kufanya wananchi wakikubali chama hicho.