Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.

Kwenye World market mafuta yanauzwa kwa barrel.

Kwenye pump Marekani, mafuta yanauzwa kwa gallon. Na bei ya gallon kwa sasa iko around Dollar 4 mpaka 5 point something depending uko State gani.

Kwa UK nafuta kwenye pump yanzauzwa around 1.4 Pound per liter.

Hiyo bei ya tone ni conversion ambayo haisikiki popote kwenye news. Kuleta bei kwa mtindo huu ni kujaribu kuconfuse tu mambo.
 
Napenda sana kuchangia nchi yangu. Nikikaa masaa hata matano bila kulichangia taifa naanza kutetemeka.

Au nikirudi mapema mtaani kwangu basi ujue mida ya usiku lazima nitome nikalipe kodi
Mkuu pombe siyo nzuri kunywa listaarabu
 
Wenzenu Shinyanga jana wamewekewa maji kwenye magari yao.
Na nyinyi mkiendelea kuhoji mambo ya tani tutawawekea lami Ili mpate uelewa.
 
Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.

Kwenye World market mafuta yanauzwa kwa barrel.

Kwenye pump Marekani, mafuta yanauzwa kwa gallon. Na briya gallon kwa sasa iko around Dollar 4 mpaka 5 point something depending uko State gani.

Kwa UK nafuta kwenye pump yanzauzwa around 1.4 Pound per liter.

Hiyo bei ya tone may be ni ya Tanzania tu
Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.

Tangu vita ianze bei imeongezeka toka dollar around 66 kufikia pick at $ 115. Hilo ni ongezeko la less than 100 % (about 64 %). Sasa hizi hesabu za Msigwa za kutoka $ 650 mpaka $ 1450 kwa tone inaonyesha ni ongezeko ya zaidi ya 120 %.

Haya masahihisho yanaongeza maswali zaidi. Kwa nini hizi bri zinawapa shida....!! Hivi kweli kuconvert $5 per gallon kwa shillings au 1.5 Pound per litter kwa kwa shillings ni tatizo kubwa?
 
Wameshindwa kutuConvice sasa wameamua kutuConfuse lakini wanazidi kuonekana vituko mbele ya watu wenye akili.

The butcher ameongelea bei ya lita moja akilinganisha Ulaya na Marekani ila mfafanuzi aka TP anakuja kuleta habari za tani. Yaani ni kasoro juu ya kasoro.

Halafu anakuja chawa humu kutolea ufafanuzi wa mfafanuzi kwa kusema ati ni metric tonnes, yaani hakuna coordination kabisa, aibu tupu.

Wako uchi ni vyema wakachutama wanazidi kujiabisha mbaya zaidi wana aibisha nchi😢

H. Polepole was right, watu wenye uzalendo wa kweli na mapenzi mema na nchi yetu huko kwenye kitengo wahakikishe watunza kila PUNJE ya ushahidi ili siku ile ikifika asiwepo wa kusema kuwa ameonewa au kusingiziwa.
 
Kipimo kikuu kinachotumika kujua bei ya mafuta kwenye soko la dunia ni Pipa (kwa Kiingereza: Barrel au kifupi chake bbl).

Ujazo wa Pipa Moja: Pipa moja la mafuta ni sawa na lita 159 (au galoni 42 za Marekani).

Vipimo Rejea (Benchmarks): Katika soko la kimataifa, bei ya pipa hupimwa kulingana na aina maalum za mafuta ghafi ambazo hutumika kama miongozo:

Brent Crude: Hiki ni kipimo kikuu kinachotumiwa duniani kote, hasa kwa mafuta yanayozalishwa Bahari ya Kaskazini, Afrika, na Mashariki ya Kati.

West Texas Intermediate (WTI): Kipimo kinachotumiwa zaidi kwa mafuta yanayozalishwa Marekani.
Dubai/Oman: Hutumika kama rejea kwa soko la Asia na Mashariki ya Kati.

Sarafu: Bei ya mafuta duniani hutangazwa na kuuzwa kwa kutumia Dola ya Marekani (USD) kwa kila pipa.

Tani (Metric Tonne): Ingawa pipa ndicho kipimo maarufu kwa mafuta ghafi, kipimo cha tani hutumika mara nyingi katika usafirishaji wa meli na biashara ya jumla ya mafuta yaliyokwisha kusafishwa.
 
1. Mafuta yanauzwa kwa tanni? Au Barrel?
2. Tanni Moja ya mafuta ina Lita ngapi?
3. Tunaomba chanzo cha hizo data zako
 
Kipimo kikuu kinachotumika kujua bei ya mafuta kwenye soko la dunia ni Pipa (kwa Kiingereza: Barrel au kifupi chake bbl).

Ujazo wa Pipa Moja: Pipa moja la mafuta ni sawa na lita 159 (au galoni 42 za Marekani).
Vipimo Rejea (Benchmarks): Katika soko la kimataifa, bei ya pipa hupimwa kulingana na aina maalum za mafuta ghafi ambazo hutumika kama miongozo:
Brent Crude: Hiki ni kipimo kikuu kinachotumiwa duniani kote, hasa kwa mafuta yanayozalishwa Bahari ya Kaskazini, Afrika, na Mashariki ya Kati.
West Texas Intermediate (WTI): Kipimo kinachotumiwa zaidi kwa mafuta yanayozalishwa Marekani.
Dubai/Oman: Hutumika kama rejea kwa soko la Asia na Mashariki ya Kati.
Sarafu: Bei ya mafuta duniani hutangazwa na kuuzwa kwa kutumia Dola ya Marekani (USD) kwa kila pipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…